Nilichokuta kwenye pochi ya mchumba wangu

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,797
6,795
Habari za wikiendi

leo nipo tu nyumbani baada ya jana ijumaa kunywa bia za kutosha. sasa shemeji yenu(sina uhakika sana) alikuwa anafanya fanya usafi mimi huku nikiwa nimelala. baada ya kuandaliwa subu nikarudi kitandani ujilaza na yeye akaaga anaenda sokoni.

Naamka tena saa tano asubuhi baada ya kubanwa mkojo. narudi ndani nakuta pochi yake ambayo sijaizoea(pochi mpya). sasa akili zikanituma nifungue ndani. lahaula aisehhhh......si nikakutana na kiburungutu cha US DOLLAR. naona noti za dola moja na dola kumi. nimeshangaa kazipata wapi maana yeye mwanasheria wa kujitegemea na dollah wapi na wapi. nawaza niibe zote maana hajawahi kunipa ata nauli tu ya kwenda kazini. chakula nanunua mimi, kodi mimi, maji mimi yeye hana hela mwaka mzima.

nifanyeje hapa niziibe zote alafu nisingizie kibaka aliingia nikiwa nimelala maana ata nikimuomba hela hatanipa kabisa. na akikupa ataulizia chenchi

ushauri jamani
 
Ina maana dola ni lazima zishikwe na watu flani tuuu, kwa hiyo sie makapuku tutaziskia tuuu
 
Bora aisikupe hata cent tano. ..MTU mwenyewe kumbe mlevi. Basi atakuwa anamaana yake kutokukupa. Anakuonea huruma labda, huenda ungelewa zaidi
 
Muulize hivi umeshawahi shika dollar ?

Akisema hapana tu,. jua kuna mtu anagonga nae cheers vikojoleo

Ngoja nimtautie mazingira. kilichonishangaza zile dolari nazozionaga kwa filamu kumbe nalala nazo ndani

ngoja niibe tu sina namna
 
Back
Top Bottom