kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 8,953
- 16,891
Tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita nilipokea taarifa ya huzuni sana kutoka kwa mtu wangu wa karibu kuwa i have to be strong kwa taarifa atakazonipa, mwisho akamalizia kwamba mpenzi wako Lilian amefariki dunia, after a long time battle with athma, nakumbuka ndiyo nilikua najiandaa kwenda kuoga halafu nipitie mahali nimnunulie mazaga flani hivi ili nimpelekee hospitalini alipokua amelazwa.
Aisee wakuu nililia sana ukizingatia ndio penzi lilikua na miezi michache tu toka nilipokutana na lilian maeneo flani hivi ya pale mwenge, mbaya zaidi akafariki kipindi ambacho nilikua na wiki moja mbele kabla sijaanza university exams, seriously nilikua kwenye wakati mgumu sana wakuu lakini nashukuru nilikua imara na maisha yanaendelea mpaka leo.
Nawe mwana JF share nasi mkasa wako wa kufiwa na mpenzi wako jinsi ulivyopokea taarifa za msiba na namna ulivyojaribu kusimama imara mpaka leo.