Hivi ni kweli kuna baadhi ya watu wanaofanya kazi Saloon za kufanya Massage wanakufanyia massage hata sehemu nyeti, au ni uzushi tu??!! Au pengine kuna maana nyingine hapo???
Wakuu hii imekaaje,
Binti amenipotezea lakini kwa vile mahusiano yetu yalikua open kwa watu wote imetokea ndugu zake na binti wanapenda sana kuwasiliana na mimi.
Yaani ikipita hata week...
Mapenzi ya kweli yatakubalisha
Rafiki yangu Sarah alinisimulia;
"Baada ya miaka 3 ya ndoa nimekuwa nikikutana sana na marafiki wa mume wangu(Simon), wamekuwa wakiniambia amebadilika sana, sio...
Nakupigia simu hupokei sawa usipokee-siku hudumihi
Unanijibu nyodo sawa mama-kwa kuwa sikuhudumihi
Nakufuma upo na wanaume unasema kaka zako sawa mama sababu sikuhudumihi
Kutwa upo busy mama...
Sina mda mrefu toka nipate ajira iliyonifanya niame toka kwa wazazi na kupata chumba magomeni mtaa kapuni si mwenyeji hapa mtaani ratiba zangu saa 12 asubui nachomoka kwenda jobu na narudi majira...
Bora nikaoe Tanga, tena binti wa Pangani,
Yule anovaa kanga, na mitandio kichwani,
Aongee kwa kuringa, na lafudhi ya kipwani,
Awe na kauli njema, kwangu na kwa ikhwani.
Pangani nikimkosa...
In short,
Nilikuwa naenda chuo fulani, nimetoka zangu home nikiendesha kikorola changu. Njiani nikamkuta dada mmoja anasubiri usafiri wa public. Aliponiona basi akanipungia kuomba lift...
Kama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti...
Kwanza kabisa, sijaja kuandika hapa ili kuwapa faraja/amani bali nimeleta vita. Endelea
Hii ya kusema watu maskini ndio wanajiuza ni kuwaonea (kwa mjibu wa wachangiaji wa thread moja humu)...
*New world population statistics*
Population 7.9 billion people on planet earth.
Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*
So baby gal think twice before saying *NO* to a man.! [emoji4]
Mimi ni kijana wa miaka 25, sina kazi wala sina kibarua, elimu yangu ni degree ni mwalimu wa arts ila serikali imekataa kuniajiri ni mfupi kupitiliza na mweusi tena mweusi kweli kweli. Nahitaji...
Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke...
MIMI SIO MFUNDAJI ILA NAKULETEA TOKA KWA MFUNDAJI NGULI NIKIAMINI VIMWANA WA JF WATANUFAIKA NA CHOCHOTE.
VP UTAMTAYARISHA MUME ANAPOSAFIRI??
[emoji178]MUME ANASAFISHWA KABLA YA SAFARI...
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli wenyewe siku hizi kupitia mitandao mingi ya kuchat insta, fb, hitwe, bado, whatsup kuna baadhi ya wadada wamejiingiza katika biashara...
Wandugu hamjambo heri ya mwaka mpya nyote
Wakati mwingine ni vyema kuanza kuweka mazingira mazuri katika mahusiano yako
na huu ndo mwaka tunaanza je umeshaanza kuweka malengo na mipango yako...
Wanajamvi habarini za weekend?
Twende kwenye mada, huwa ninashangazwa na wanaume pale wanapokuwa wanamtafuta mwanamke hutia bidii na maarifa ikiwa ni pamoja na kujifanya watulivu, wanyenyekevu...
Ni tatizo...
Zile punye za bure kwishaa...
Bia za bure kwishaa...
Vacation za bure kwishaa...
Shoping za bure kwishaa...
Kulipia mchepuko ada kwishaa...
Kulipia ada na kulea mtoto wa kambo...
Hello JF,
Mimi ni kijana wa miaka 31, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiriwa na kampuni moja hapa jijini Dsm.
Ni mrefu wa wastani, mnene wa wastani, rangi maji ya kunde na mkristo. Natafuta...