moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Wanajamvi habarini za weekend?
Twende kwenye mada, huwa ninashangazwa na wanaume pale wanapokuwa wanamtafuta mwanamke hutia bidii na maarifa ikiwa ni pamoja na kujifanya watulivu, wanyenyekevu na wa pole ili tu kupata wanachohitaji.
Wadada wengi wamehadaiwa na wanaume na baada ya kutoa penzi wanaume hugeuka na kuwa kinyume na walivyokuwa wakati wanawinda.
Kuna Dada jirani yangu hapa analia baada ya kumwagwa ghafla baada tu ya kugegedwa, nimejaribu kumfariji lkn imekuwa ngumu.
Kibaya zaidi huyo mpenzi wake amemtolea maneno ya kashfa mbele ya watu kiasi cha kumfanya atake kujiua.
Baadhi ya maneno aliyoambiwa nikwamba hana hadhi ya kuwa na jamaa .
Kama unajua mtu hanahadhi ya kuwa na wewe kwanni uhangaike na kughalimika kumfutilia?
Kweli wanaume kuweni waungwa vitendo mnavyotufanyia vinatuumiza sana.
Hivi ni faida gani mnapata? plz usijeruhi nafasi zisizo na hatia.
Kumbukeni kila apandacho mtu atavuna.