Yalionikuta mtaani sina hamu

92brow

Senior Member
May 15, 2016
142
168
Sina mda mrefu toka nipate ajira iliyonifanya niame toka kwa wazazi na kupata chumba magomeni mtaa kapuni si mwenyeji hapa mtaani ratiba zangu saa 12 asubui nachomoka kwenda jobu na narudi majira ya jioni, siku za jmosi na jpili siendi job.

Kilichotokea jmosi moja niko home napiga usafi wanguo yani nafua nilipomaliza nikaenda kununua maji jirani na ninapoishi kwenye tank nikapatiwa uduma na kabint kamoja hivi kazuri kiasi nilivyomuona nilihisi ananijua maana alinichangamkia akaniuzia maji huku akinioji maswali kadhaa then nikaondoka zangu.

Mchana nipo nje ya nyumba niliyopanga nasoma gazeti moja la michezo akaja mtoto kama wa miaka mitano hivi akanipa karatasi akasema ametumwa na Dada V jina lake linaanzia na hiyo herufi nikapokea nikasoma ndani niyule msichana alieniuzia maji akajitambulisha kwenye barua zaidi anaomba namba yangu ya cm na anasema anataka niwe wake ila kwa siri maana anasoma kidato cha 3 shule akanitajia.
Dakika kadhaa yule Dogo akarudi anasema amefata majibu nikamwambia asiwe na haraka hivyo sikutoa.

Baada ya siku 3 Demu kanitegea mingo stendi akanibembeleza nikubali ombi lake nikamwambia asiwe na haraka kwani mambo mazuri hayataki haraka.

Baada kama ya wiki nikapata habari yule Demu anaumwa kutoka kwa yule dogo.
Usiku mama mmoja amekuja anajitambulisha ni mama wa yule binti anataja kujua uhusiano na mwanae nilianza lini nilikataa mwisho nikamueleza ishu ilivyokua mama aliondoka kama hakuniamini vzr siku ya pili narudi kutoka job mama kanitimbia geto anadai amekuja tukubaliane juu ya kumsaidia binti yake maana amepata kama ugonjwa maana shule asomi nyumbani kama anaumwa mda wote ananiwaza mimi kwahiyo mama ameniomba nami niigize kama nampenda binti yake ili apate kusoma.

Waungwana hebu nishaulini natamani kuhama mtaa lakini kodi yangu niliolipa bado kubwa nifanyeje maana naona kama huyu mama anataka kuniingiza kwenye mtego.
 
Kemea huu ujinga, mi mama ya pwani ni ya ovyo sana, tumeshuhudia mengi, ukicheza utasingiziwa mimba mchana kweupeee, kaa mbali hiyo ni sumu ya panya haionjwi
 
Mtu kuamini hizi hadithi zako kunahitaji awe na roho ngumu kama mbabe uchwara maana nawe unalazimisha wana jf tukuombee kwa Mungu.
 
Kama inawezekana, badilisha sehemu ya kuchota maji. Usiende kuchota nyumbani kwa huyo binti tena. Baada ya hapo, endelea na msimamo wako wa kukataa kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa Form III.
Msimamo wako ndio utakuepusha na balaa linaloweza kutokea. Wala usithubutu kwenda kumtembelea huyo binti.

Ni maoni yangu
 
Sina mda mrefu toka nipate ajira iliyonifanya niame toka kwa wazazi na kupata chumba magomeni mtaa kapuni si mwenyeji hapa mtaani ratiba zangu saa 12 asubui nachomoka kwenda jobu na narudi majira ya jioni, siku za jmosi na jpili siendi job.
Kilichotokea jmosi moja niko home napiga usafi wanguo yani nafua nilipomaliza nikaenda kununua maji jirani na ninapoishi kwenye tank nikapatiwa uduma na kabint kamoja hivi kazuri kiasi nilivyomuona nilihisi ananijua maana alinichangamkia akaniuzia maji huku akinioji maswali kadhaa then nikaondoka zangu.
Mchana nipo nje ya nyumba niliyopanga nasoma gazeti moja la michezo akaja mtoto kama wa miaka mitano hivi akanipa karatasi akasema ametumwa na Dada V jina lake linaanzia na hiyo herufi nikapokea nikasoma ndani niyule msichana alieniuzia maji akajitambulisha kwenye barua zaidi anaomba namba yangu ya cm na anasema anataka niwe wake ila kwa siri maana anasoma kidato cha 3 shule akanitajia.
Dakika kadhaa yule Dogo akarudi anasema amefata majibu nikamwambia asiwe na haraka hivyo sikutoa.
Baada ya siku 3 Demu kanitegea mingo stendi akanibembeleza nikubali ombi lake nikamwambia asiwe na haraka kwani mambo mazuri hayataki haraka.
Baada kama ya wiki nikapata habari yule Demu anaumwa kutoka kwa yule dogo.
Usiku mama mmoja amekuja anajitambulisha ni mama wa yule binti anataja kujua uhusiano na mwanae nilianza lini nilikataa mwisho nikamueleza ishu ilivyokua mama aliondoka kama hakuniamini vzr siku ya pili narudi kutoka job mama kanitimbia geto anadai amekuja tukubaliane juu ya kumsaidia binti yake maana amepata kama ugonjwa maana shule asomi nyumbani kama anaumwa mda wote ananiwaza mimi kwahiyo mama ameniomba nami niigize kama nampenda binti yake ili apate kusoma.
Waungwana hebu nishaulininatamani kuhama mtaa lakini kodi yangu niliolipa bado kubwa nifanyeje maana naona kama huyu mama anataka kuniingiza kwenye mtego.
Rekebisha hapo kwenye red..
nihame,
asubuhi,
huduma,
akinihoji,
nishaurini
 
Back
Top Bottom