Ushauri kutoka kwenu waliopitia haya

wasumu

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
2,057
1,710
Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke kwa doctor ila mimi moyo mgumu sana namwogopa MUNGU .je ni msaidiaje ? Wandugu mliowahi kutoa mimba
 
asitoe hiyo mimba anaweza kutoa na kizazi na mwishoe asizae kabisa cha msingi kama kuna uwezo kano muowe tu huyo
 
Simple tu, Mtumie baba yake sms ukimjulisha Anna ana mimba(jitambulishe kama raia mwema) Atafukuzwa kwao na utampata kirahisi bila gharama ili ulee mke na mtoto.
 
Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke kwa doctor ila mimi moyo mgumu sana namwogopa MUNGU .je ni msaidiaje ? Wandugu mliowahi kutoa mimba
Age yako na yake,je mnakipato chochote
 
Kweli kuchwa Maji mzigo kwa miguu, hawezi kukupelekesha kutoa mimba nawe ukakubali kirahisi hiviii

√√Sio kipindi cha kutoa mimba hikii
 
Jambo dogo sana hilo wewe nenda moja kwa moja kwa baba yake kaanae,ongea nae kiume kwamba binti yake umempa mimba na uko tayari kwa majukumu yote ya ubaba mbona mtaelewana tu na maisha yataendelea vizuri!
 
ila inategemea na anna je yupo tayari kuwa mama? sababu abaweza kuwa anna anaogopa kuwa mama
 
Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke kwa doctor ila mimi moyo mgumu sana namwogopa MUNGU .je ni msaidiaje ? Wandugu mliowahi kutoa mimba
Wakati unenda mgegeda ulituomba ushauri?!!!!
 
Back
Top Bottom