Anza kuweka mazingira mazuri ya mahusiano yako

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
Wandugu hamjambo heri ya mwaka mpya nyote

Wakati mwingine ni vyema kuanza kuweka mazingira mazuri katika mahusiano yako
na huu ndo mwaka tunaanza je umeshaanza kuweka malengo na mipango yako sawia?

Je mwaka jana ulimalizaje katika mahusiano na wengine, marafiki, mwenzi wako
mlitibuana au mlizidisha upendano kati yenu? mlimalizaje mwendo wenu wa mapenzi?

Mama fundwa ndo nakuja kwa SOMO maridhawa kwenu je unaishi kwa ajili ya nani
hasa leo nitawazungumzia WANAUME je wewe kichwa cha familia au nyumba unaishi
kwa ajili yako au kwa ajiili ya nani na je umeshaweka mazingira mazuri na mwenzi wako
au kila mara ni kumgombeza na kumurudishia makombora kama wenzetu wa kanda (imehifadhiwa) wanawanvyowacharanga matofali hutadhani mto au kitu jamani

Haya wapendwa mmejiweka kwa mwaka huu katika maisha yenu ya ndoa, familiya na marafiki pia? jibu mnalo wenyewe ila mm ningependa kusema kuwa ishi na watu vizuri

a) Jiwekee mikakati ya kuweza kumfurahisha mwenzi wako kwa mwaka huu au rafiki yako
b) Jiwekee mikakati na malengo ya kuweza kutimiliza yale uliyojipangia kwa mwaka huu
c) Jiwekee mbinu zakuweza kufanya lile usilowahi kulifanya ili iwe kumbukumbu kwako na kizazi chako
d) Fungua kitu cha kuonekana na cha kudumu ili kilete mafanikio hapo baadaye
e) kuwa makini na huyo unaiyeishi naye mwenzi wako kwa kumtimizia mahitaji yake kwani
wewe mwanaume ni kichwa cha nyumba fanya wajibu wako kwa upendo sio minuno isiyo na tija

Natumai WANAUME ujumbe mmeupata na mmuelewa tekelezeni majukumu yenu sio kulalamika hovyo eti maisha songasonga nani kakwambia kuwa huwezi jituma kwa jambo lolote likaleta Baraka, Punguzeni UVIVU kwani unaleta umaskini ninyi ndo vichwa mnataka sisi tuwe vichwa tushike majukumu ambayo ni yenu, sisi wanawake tunaweza kwa kila kitu ila tunataka nanyi mfanye zamu yenu achene kuimba imba ngonjera kama mko chekechea KAZENI BUTI FANYENI KITU CHA KULETA MAENDELEO kwani hamjamsikia mhe akisema HAPA KAZI TU jitumeni bana
achene nyimbo za mdomoni

Nawatakia heri kwenye kila mtakachofanya

Wasalaamu

Ladyf
 
PUMBA tuu... Hata cjaona point ya msingi.
Sipendagi watu kujifanya wao ni maprofessor wa mapenz.. Utadhani maisha yao halisi wako hivo.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
6a21ecc552029d8f99aa84b988b5fd24.jpg

Hauhitaji mwaka mpya ili ubadilike.
Cha muhimu ni kujitambua
 
Back
Top Bottom