pistmshai
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,313
- 3,682
Mapenzi ya kweli yatakubalisha
Rafiki yangu Sarah alinisimulia;
"Baada ya miaka 3 ya ndoa nimekuwa nikikutana sana na marafiki wa mume wangu(Simon), wamekuwa wakiniambia amebadilika sana, sio Simon waliomzoea kabisa. Waliongeza kuwa, Simon amebadilika kwa kiwango cha juu mno. Hata mimi binafsi niliona mabadiliko ya Simon, amekua kifikra,upeo,unadhifu wa nje, na hata kiuchumi mambo yake yanamuendea vizuri. Sawa na mimi pia, familia yangu imekuwa ikiniambia jinsi nilivyobadilika. Najivunia sana kusema nimejifunza vitu vingi kutoka kwa mume wangu."
Tulipiga story nyingi nyingi mno, aliongea mengi kuhusiana na ndoa yake, na mwisho niliondoka na mambo kadhaa kichwani..
Mapenzi ya kweli yatakuruhusu ukue(kwa kila kitu), It is one quality that you should look for in your partner..Your lover should let you evolve. He should help you to develop. To move ahead. To achieve more. To attain more. To feel more.
Yule anakuwa bega kwa bega kuhakikisha anakuSupport kulifikia lengo la kuu kimaisha, ndiye mtu anaekupenda kwa dhati. He may not claim he would die if you left him but he would promise ‘if you are not there, I would make sure your dream is fulfilled’.
Go for matured love. One that does not bind you but instead liberates you. True love does not restrict you. It does not suffocate you. It lets you breathe.
True love lets you be you. And helps you to become a better human being.
“True love isn’t expressed in passionately whispered words an intimate kiss or a embrace; before two people are married, love is expressed in self-control, patience, even words left unsaid.”