Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Nakupigia simu hupokei sawa usipokee-siku hudumihi
Unanijibu nyodo sawa mama-kwa kuwa sikuhudumihi
Nakufuma upo na wanaume unasema kaka zako sawa mama sababu sikuhudumihi
Kutwa upo busy mama -sababu sikuhudumii
Unanitukana sawa mama sababu sikuhudumihi
Profile picha,instagram una post wanaume-sawa mama sababu sikuhudumihi
Game una ninyima sawa mama sababu sikuhudumihi
ONYO
Nikianza kukuhudumia
- hole wako nipige simu usipokee
-Nikikukuta na Wanaume utajuta utaniletea vyeti vyao vya kuzaliwa nijue kama kweli ni kaka zako
-Ukichelewa kurudi utatafuta pa kulala
NB:KAMA MWANAMKE HUMPI HUDUMA USITEGEMEE MIUJIZA YA KUPENDWA
BY MIMI