Kwa nini wadada wengi siku hizi wanafanya biashara ya kuuza picha chafu pamoja na video

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,217
3,694
Ni vigumu kuamini lakini ndo ukweli wenyewe siku hizi kupitia mitandao mingi ya kuchat insta, fb, hitwe, bado, whatsup kuna baadhi ya wadada wamejiingiza katika biashara kuuza na kutuma picha zao ambazo ni picha chafu yaani picha za uchii.

Na wadada wengi kama kule insta unakuta mdada anakutext ukitaka picha zangu za uchii njoo whatsup kwa namba flani hii na anakuambia ada labda elfu kumii, ...

sasa katika hili jee hii ina maanisha nini kwa dada zetuu
 
tmp_6611-20161231_054641-4917520.jpg
 
Tatizo, hawajasoma walikua wanawategemea wategemezi na kwa wategemezi mianya yahela imefungwa, hivyo kwakua hao watu walikua wanapenda mteremko njia rahisi kwao naona wameona hio
Sure ila haya maisha kama umezoea mteremko ndo inakua hivyo !!nmekumis mrembo upo?
 
Matatizo hayapo kwa hao mabinti.....bali kwa hao vijana wanaonunua picha hizo.....

Nina uhakika kuwa moja kati ya vitu vinavyodidimiza uchumi na maisha ya vijana ni hii mitandao ya kijamii.......

Muda na akili vilivyowekezwa huko....vingekuwa vimewekezwa kwenye idea za uzalishaji hakika kungekuwa tofauti.......

Sina maana ya kuwa mitandao ya kijamii ni mibaya...la hasha bali tuitumie katika mambo mazuri na kuleta mafanikio maishani mwetu......

Mtandao imeleta uwepesi wa kupata elimu mbali mbali....lakiini badala yake vijana wamekuwa wakijifunza ujinga na upumbavu......

Sasa wewe unajua kuwa mtandao fulani ni mahususi kwa mambo ya kishenzi na kifirauni.....unajiunga nao ili iweje...hali ya kuwa wewe hupendi ufirauni......!!??

Unaweza ukamtongoza mwanao au dada yakowa..... au kuona picha zake za uchi huko....alafu mkashindwa kutazamana nyumbani.....
 
Tatizo, hawajasoma walikua wanawategemea wategemezi na kwa wategemezi mianya yahela imefungwa, hivyo kwakua hao watu walikua wanapenda mteremko njia rahisi kwao naona wameona hio

Tatizo halipo kwenye kusoma bali ni utashi wa mtu mwenyewe ndio unamtuma kufanya hivyo.....kuna mabinti wengi mimi ninaowajua....hawajapitia hata darasa moja.....lakini wanajitafutia ridhiki zao kwa njia halali.......

Na vile vile nimeshuhudia na ninaendelea kushuhudia mabinti wengi ambao ni wasomi wa vyuo vikuu wakijiuza katika mitindo mbali mbali.....
 
Watu wanapenda ufunyuku!

Ndo maana huko nchi za wenzetu km Korea kaskazini wamepiga ban haya madude...
 
Back
Top Bottom