Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo nimerudi nyumbani mapema. Nikakaa siting room, mm mpenzi wa music bila kujali music wa aina gani mm napenda tu, ijapokuwa singeli tu ndio sipendi. Akaja mwanangu analia ananiambia toa huo...
15 Reactions
41 Replies
5K Views
Habarini wadau Jamani mwaka Jana nlikua na demu tuliishi vizuri tu nikampa mimba tukajadili itolewe ikatoka then demu akaanza visa na wivu akaniacha mi nkapiga moyo konde na wakati wote huo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
no .1...utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali duniani unaonyesha katika kila wanaume 10 wenye vitambi 8 wanamiliki nyumba ndogo. no 2......pia ilibainika wanaume wenye vitambi wana ushawishi...
8 Reactions
148 Replies
21K Views
This is to that man out there who is hesitant to enter into marriage because of the inability to contribute to conception. The man should be a christian and above 30 years of age, am a 26. PS: No...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
746 Views
UANAUME ni nini?! UANAUME ni pale MCHUMBA wako anakwenda KUKUTAMBULISHA kwao baada ya UTAMBULISHO unamwita pembeni BABA MKWE wako unamuomba NAULI ya kurudi MJINI na yeye bila hiyana anakupatia...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Za leo wana JF, Natafuta mke wa kuoa ambae ni daktari, awe mkristo, umri kwangu sio kigezo, na awe mcha Mungu, umri wangu ni miaka 32 na elimu yangu ni degree holder, nipo serious mwenye nia ani PM.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau Jaman Sijui Ni Tatizo Au Nin Ebu Ebu Nisaidien Yan inapo fika Alfajili Huu muda Napata shida Sana Yan unakuta Umme Wangu Unasimama Nga Nga Nga Hili sio Mara Moja Ni Kira siku...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kweli nimeamini mke anaweza kuwa baraka kwenye maisha ya mume wake na pia anaweza kuwa laana mpaka mwanaume akajuta kwa nini hata alikutana na huyo mwanamke. ======== Mohamed Maulid mkazi wa...
3 Reactions
93 Replies
13K Views
Mapenzi hayana tofauti na Mitandao ya Simu...Wanatumia gharama kubwa sana kujitangaza na kuwapata wateja...Wakiwapata wanahakikisha wateja wao wanaridhika na Huduma na wanabaki kutumia Mtandao huo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimetoka zangu kazini jioni nimetukanwa na bosi huko nakuachia pesa ya kula na watoto unaikata nusu unaweka kwenye kibubu chako eti ya mganga kwa ajili ya kudumisha ndoa usiachike! Na mtaachika...
2 Reactions
3 Replies
838 Views
Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana mzuri aliye tayari kuanza maisha from zero to hero mrefu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilipomaliza shule basi ile ninaaply chuo nilijaribu tu chuo kimoja kilikuwa nchi flani hivi, majibu yamekurudi nimekubaliwa, basi nikaanza maandalizi ya safari. Nilipofika kule nilipokelewa na...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanawake wako tofauti sana na ni ngumu kuwaelewa wanataka nini hasa. Unaweza kusoma vitabu vingi lakini bado wakakusumbua. Wana vitu vingi sana wanavyohitaji na ukiwauliza nini ni priority kwao...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
https://lovecalczone.com/calculate.php?t=0da4ef
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Huwa napenda kuangalia online postings za wake za watu. Nikiona wanaandika vi ujumbe vya kutia tia huruma naanzaga kuwachombeza online... To my surprise wengi hawaoneshi kukasirika. So far...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Kuna watu ili muonane na wapenzi wenu lazima muwe na shughuli maalum,wengine hata muwe na shughuli bado mpenzi hatokei..Ila yeye akikuhitaji ili aje kucheza SKELEWU kwenye mwili wako hutakiwi kuwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Jana katika harakati za kutaka kuchepuka kwa mlupo mmoja ambaye alikunywa bia zangu nyingi. Nilimwita sehemu ya tukio baada ya kutoka kazini huku nikivunga atokee. Kwa kweli hakutokea...
12 Reactions
54 Replies
4K Views
Itunze Ndoa Yako MKE, FANYA HAYA KWA MUME WAKO. 1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa...
16 Reactions
78 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…