STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,246
Mapenzi hayana tofauti na Mitandao ya
Simu...Wanatumia gharama kubwa sana
kujitangaza na kuwapata wateja...Wakiwapata
wanahakikisha wateja wao wanaridhika na
Huduma na wanabaki kutumia Mtandao huo
mmoja tu na bila KUHAMIA kwenye mtandao mwingine.
Usione Tigo wajinga wanapohakikisha wateja wao
hawahamii Airtel kwa gharama yoyote na ndio
maana BABA LAO wakiongeza Dakika za kupiga
Bure na Tigo wanaongeza kesho yake...A
SATISFIED CUSTOMER becomes a LOYAL CUSTOMER Mapenzi hayachezi mbali na Principle za Mitandao
ya Simu....Ukitaka Usigongewe Demu wako INVEST
kumfanya Demu wako awe SATISFIED...Mpe vitu
vyote ambavyo Demu wako anastahili kupewa ili
asiwe Machepele na Macho Juu-Juu...Mfanye asihisi
kuna kitu anamiss kutoka kwako kumfanya atazame pembeni...Prove kwake kwamba wewe
ndio Best of the Best na Unampa huduma Best na
hahitaji mwingine...Mwanamke halindwi wala
hawekewi Alarm,anajilinda pale tu unapompa
sababu ya yeye kutotazama nje kuona kama kuna
hali nzuri kuliko hali unayompa wewe....Usipompa, Wanaume wenzio wa nje wataona hiyo
Opportunity na wataitumia ipasavyo kuprove
kwamba umefeli na wao wanaweza kumpa.
Usipompa Demu wako KABANG ya Kutosha
atahamia CHEKA BOMBASTIK na Usimlaumu,ulikuwa
na muda hukufanya,acha wanaojua wampe...Ukimuweka demu jangwani hakikisha
yeye ni Ngamia au una maji ya kutosha kumkata
Kiu.
Kwa Hisani ya Wanaume wote walio dimbwini!
-stunter-