Mke fanya haya kwa mume wako

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,963
3,675
c57ce6b800c0428cb1308cd9a0773d04.jpg

Itunze Ndoa Yako

MKE, FANYA HAYA KWA MUME WAKO.

1. Muite kwa jina lake la utani

2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake.

8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima.

Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako.

NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE
 
hapo unaongelea mama wa nyumbani,ila hawa tunaofanya nao kazi jioni tunarudi pamoja home saa 2 usiku wote hoi hasira kibao hizi formula zinakua ngumu sana
 
Wanawake wa Tanzania waka kazi sana!

Kwenye mahusiano kila kitu kinawaangukia wao.

Hayo yote uliyoyaorodhesha hapo hata mwanamme anapaswa kuyafanya.

Lakini badala ya kusema 'wanandoa, wapenzi, fanyianeni haya', jukumu katwishwa mwanamke.

Kwamba mwanamke ndiyo amfanyie mumewe. Mfumo dume on steroids.

Hii jamii yetu hii....kaazi kweli kweli yaani.
 
this is Afrika kama vipi nenda europe au tafuta mwenza kwa swag european
 
Wanawake wa Tanzania waka kazi sana!

Kwenye mahusiano kila kitu kinawaangukia wao.

Hayo yote uliyoyaorodhesha hapo hata mwanamme anapaswa kuyafanya.

Lakini badala ya kusema 'wanandoa, wapenzi, fanyianeni haya', jukumu katwishwa mwanamke.

Kwamba mwanamke ndiyo amfanyie mumewe. Mfumo dume on steroids.

Hii jamii yetu hii....kaazi kweli kweli yaani.
Word
 
yaaani ndio nilikua nawaza haya uliyaandika wakati nasoma... cjui kwanini watu hawaelewi ndoa inatengenezwa na wahusika wawili... mbona ndoa inafungwa na watu wawili na sio mmoja kumuwakilisha mwenzie!!!
 
Wanawake wa Tanzania waka kazi sana!

Kwenye mahusiano kila kitu kinawaangukia wao.

Hayo yote uliyoyaorodhesha hapo hata mwanamme anapaswa kuyafanya.

Lakini badala ya kusema 'wanandoa, wapenzi, fanyianeni haya', jukumu katwishwa mwanamke.

Kwamba mwanamke ndiyo amfanyie mumewe. Mfumo dume on steroids.

Hii jamii yetu hii....kaazi kweli kweli yaani.
Aaah
Sasa apo ndugu Ngabu umeanza ku m force mwandishi, yeye alilenga wanawake.
Angetaka ya wote ange andika pia

12 Things a Wife Should do for Her Husband - Patheos Sixseeds
sixseeds.patheos.com/.../12- things-a-wife .

Zipo Article nyingi tu kama hizo na siyo mfumo dume
 
Nimeshangaa hii picha kuikuta insta, hii harusi ina muda kidogo toka ifungwe. Huyu dada alishare kwenye whatsap group kama kuchekesha mumewe alivyo busy na simu wakati yeye yupo pemben...matokeo yake watu wameisambaza...dada wa watu now anajuta!!!
Eeeh
Sasa haoni amesaidia hata sie wengine tuna cheka pia
 
basi jameni anzeni kushauri wana ndoa wote kila mtu ana jukumu gani kwa mwenzie...kiiiila leo ni wanawake fanyeni hv fanyeni vile ... kazi kufurahisha mtoto wa mwanamke mwenzio as if mwanamke hakuzaliwa bana!!! mwingine atakuja na stori mnyenyekee mama mkwe ndio kakuzalia mumeo as if mama angu alindondeshewa mtoto... chaaaaa !!!
 
Aaah
Sasa apo ndugu Ngabu umeanza ku m force mwandishi, yeye alilenga wanawake.
Angetaka ya wote ange andika pia

12 Things a Wife Should do for Her Husband - Patheos Sixseeds
sixseeds.patheos.com/.../12- things-a-wife .

Zipo Article nyingi tu kama hizo na siyo mfumo dume

Marriage is a two-way street.

And for it to be successful there has to be a lot of give-and-take between husband and wife.

There are no two ways about it.
 
Back
Top Bottom