Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Huwa napenda kuangalia online postings za wake za watu. Nikiona wanaandika vi ujumbe vya kutia tia huruma naanzaga kuwachombeza online... To my surprise wengi hawaoneshi kukasirika. So far, sijaenda far, ndio maana nimekuja kuomba ushauri kwenu juu ya madhara ya jambo hili kabla sijaenda far...