Tofauti nyingine ya kijinsia kati ya mume na mke.

Mwanasaikolojia Dr Chris Mauki, anatufundisha kwamba Ni rahisi kwa mwanaume kuweka bajeti
fulani ya hela na akasubiria bila kuitumia hela hiyo hadi afikie malengo aliyoyaweka,
wanawake wengi hii ni ngumu kwao, wao hupanga matumizi fulani kwa hela fulani na huishia kuitumia hela ile kwa matumizi mengine ambayo yamkini hata hayakuwepo katika bajeti ya awali. Hii huleta sana kutofautiana baina ya wanandoa pale ambapo mwanaume anaona matumizi ya mkewe yanakwenda tofauti na mipango waliyowekeana.
Hii huleta sana kutofautiana baina ya wanandoa pale ambapo mwanaume anaona matumizi ya mkewe yanakwenda tofauti na mipango waliyowekeana. Utakubaliana na mimi kwenye mahusiano ya wengi, wanaume wanalalamikia sana matumizi ya pesa ya wapenzi wao wa kike. Hii itakuonyesha jinsi kulivyo na tofauti kubwa yakijinsia kwenye suala la pesa kati ya mwanaume na mwanamke na msipoielewa vema mtagombana kila siku.

Hili suala huwa linanifanya nitaman hata kumpiga makonzi...
 
Wanawake karibu wote ni wapumbavu ndio maana wako hivo!!!

Ndio maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mkuu me nakutakia kila kheri, naamini utakapo fanikiwa kupata mtoto halafu akawa ni wa kike.Pengine utabadilisha huu msimamo na utubu, kinyume na hapo usije hapa kulalamika watu watakapokuwa wakijigongea na kusepa huku wakijivuna kama ufanyavyo.
 
Wanawake karibu wote ni wapumbavu ndio maana wako hivo!!!

Ndio maana mimi huwa nawagonga nawabanjua then nawatema nasepa mbele.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Vipi mama yako anavyogongwa hovyo hovyo kitaa? Maana nae ni mwanamke kama wengine.
 
Back
Top Bottom