UANAUME ni nini?!

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,670
763
UANAUME ni nini?!

UANAUME ni pale MCHUMBA wako anakwenda KUKUTAMBULISHA kwao baada ya UTAMBULISHO unamwita pembeni BABA MKWE wako unamuomba NAULI ya kurudi MJINI na yeye bila hiyana anakupatia, unatia mfukoni na kuaga kurudi zako MJINI....!!

...HUO NDO UANAUME

ONYO o_Oo_Oo_O kama huna uhakika na akili zako usihangaike kujibu
 
Uanaume ni pale unapohonga mamilioni wakati bado unaishi nyumba ya kupanga.
 
Uanaume ni kukubalika na madem wakali na wenye elimu zao.
Kama mimi nilivyokubaliwa na Faiza Foxy
Hahahaa
 
Uanaume ni pale unamwambia dem ako akushke tako mbele ya washkaji zako

love you too.jpg
 
Uanaume ni pale unapopambana na changamoto ngumu zaidi kimaisha...ambazo pengine wengine hushindwa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom