STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Kuna watu ili muonane na wapenzi wenu lazima
muwe na shughuli maalum,wengine hata muwe na
shughuli bado mpenzi hatokei..Ila yeye akikuhitaji
ili aje kucheza SKELEWU kwenye mwili wako
hutakiwi kuwa na excuse na ikitokea unayo basi
ugomvi utakaozuka hapo hauamuliwi na NATO wala Koffi Annan
Eti na wewe Ur in a Relationship na umeanza
kuulizia Bei ya Mashela ya Harusi..POLE!
Kuna Tofauti ya Kudate na Mwanaume na Kudate
na Ambulance ya Mwananyamala Hospital. Ni
ambulance tu huitwa kwa shughuli maalum na zikishamaliza kupeleka mgonjwa basi umuhimu
wake umeisha
Kufanywa Mjinga Mara moja TULIKUELEWA,lakini
kuendelea kufanywa Mjinga kwa Miaka Mitatu tuna
wasiwasi mwenzetu wewe ni MSUKULE…Japokuwa
inauma kumpoteza mtu unayempenda lakini ili Serikali ya Moyo wako ibaki salama unapaswa
kufanya maamuzi magumu
Akikutumia Meseji kuomba Ngololo mwambie
kabisa, I AM NOT UR AMBULANCE….Kazi yako ni
kubeba Mgonjwa tu,akipona unaachwa Parking
bila kazi mpaka apatikane mwenye Kifafa uitwe tena..
Dear Ambulance,PLEASE WAKE UP