No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Nimetoka zangu kazini jioni nimetukanwa na bosi huko nakuachia pesa ya kula na watoto unaikata nusu unaweka kwenye kibubu chako eti ya mganga kwa ajili ya kudumisha ndoa usiachike! Na mtaachika sana,kwa ufinyu wenu wa akili Kwani waganga ndio walileta talaka duniani? We una tabia zako ulizotoka nazo kwenu huko,hukufundwa unategemea Mganga akulindie ndoa yako...Mnayotufanyia Mungu anawaona na atawalaani milele................