Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,958
Wanawake wako tofauti sana na ni ngumu kuwaelewa wanataka nini hasa. Unaweza kusoma vitabu vingi lakini bado wakakusumbua. Wana vitu vingi sana wanavyohitaji na ukiwauliza nini ni priority kwao wanakosa jibu. Tuishi nao kwa akili kama vitabu vya dini vinavyoeleza otherwise presha hazitakuisha.