Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Habarini wadau
Jamani mwaka Jana nlikua na demu tuliishi vizuri tu nikampa mimba tukajadili itolewe ikatoka then demu akaanza visa na wivu akaniacha mi nkapiga moyo konde na wakati wote huo sikumwambia ukweli kwamba Nina mwanamke nimezaa nae ,Sasa mwaka huu akanipigia simu kuniomba samahani eti nimrudie amenikumbuka sana hasa ninavyomwogesha ,na kumkojolesha kitandani na mambo mengine mengi
Sasa hivi karibuni akaniambia tuambiane ukweli kuhusu maisha na mapenzi akaanza yeye kuniambia eti ana mchumba yupo depo atamwo akimaliza nikamjibu ni vizuri nami nikamwambia Nina mwanamke tena mfanyakazi na nimezaa nae akabadilika ghafla na kuanza kulia anadai eti kwa nini sikumwambia mapema sasa kila siku ni malalamiko
Eti wadau mi nna kosa gani hapo hadi mtoto wa watu anilaumu wakati yeye mwenyewe ndo alianza kutaka ukweli!?