Wadau nawasalimu
Uhusiano wangu na mchumba wangu zamda umekua mgumu sana kwa kupingwa na wana familia wa pande zote, hii ni kutokana na wao kudai eti zamda ni mkubwa sana kwangu kutokana na umri...
Wadau nawasalimu,
Kuna mdogo wangu ambae wakati naoa aliendesha kampeni ya kunitangaza vibaya kuwa naoa mwanamke mzee, alizunguzuka kwa ndugu na jamaa akisema maneno hayo, ni kweli mke wangu...
Msalheri wana Jamii.
Wadada mambo vepee..?
Leo nimebadili kiwanja. Nimeongeza level. Nimekuja hapa Rhapsody's.
Tatizo nimekuja peke yangu. If y'all have noticed I like to roll solo.
Kama kuna...
Habari Za Usiku Wana Mmu,
Nna Imani Mko Vitandani Wengi Wenu,
Niliianza Hii Tabia Baada Ya Kupata Kazi Kampuni Fulani, Mbeya Na Kufanikiwa Kujenga Nyumba, Kutokana Na Kuwa Pekeyangu, Nikampata...
Nilikua na mdada na mdate kwa miaka kadhaa sasa,ila mwaka juzi Mamake akawa hanitaki kwa kuwa Mimi hohehahe sina kitu,lakini baada ya kuambiwa na watoto[jamaa tu] kuwa Mimi ndio natoka na mwanae...
Habari wanaMMU,
Ni takribani mwezi umepita toka niachane na mchepuko wangu ni hii yote imesababishwa na uaminifu wangu na kujali afya kwa kuhakikisha natumia kinga kila ninapokutana nae...
wapendwa,
niko chumani kwangu saa hizi na nahisi pumzi zinataka kukauka. nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na...
Mapema mwezi uliopita nilikwenda Dar -Es-Salaam kwa masuala tofauti ktk ofisi moja ya Serikali,nilishangazwa sana na kilichonikuta.Niliingia ofisi hiyo na kumkuta dada mmoja baada ya kuruhusiwa na...
Hivi wanawake tuna nini lakini, yaani wewe umeolewa na bado unamtafuta mume wa mwenzio na unalazimisha kumtumia meseji na asipo jibu unalalamika utadhani mumeo. Ukiulizwa si unamume wewe unasema...
Hivi kwa nini wanaume tegemezi kwa jina lingine mario wanapenda sana kulelewa? Halafu sasa kwa kuwa wanajua kabisa hapa ni kupiga kitonga wanakuwaga wajuzi kweli ya ku**mba au lugha nyingine...
Wanajamvi kwanza natanguliza heshima kwenu.
Kilichonisukuma kuandika hapa ni kwamba kuna binti niliwahi kumtongoza miaka minne iliyopita kwa bahati mbaya alinikatalia. Lakini sasa hivi naona kila...
Salaam ndugu zangu wana JF.
Kwa siku mbili sasa nimekua napitia changamoto ya kusimamisha mnara..Nipo kwenye mahusiano na binti kutoka mkoa mojawapo wa nyanda za juu kusini.
Jumanne jioni...
Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife...
katika maisha yangu nimeona wasichana wengi ambao kimaisha wanajiheshimu either hawaolewi au wanachelewa kuolewa lakini wengi wahuni ninaowafahamu wengi wanaollewa why this?
TRUE STORY.
Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani.
Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa...
Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni
Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi...
Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari.
Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote...
Kheri ya kuzaliwa Binti Kimoso!
Mungu akupe maisha mazuri yenye KHERI nyingi Sana katika mapito yako.
Kwangu umekuwa Baraka Sana.
Wewe ni Mama wa Watibeli.
Watibeli wanajivunia kuwa na mama kama...
Eebwana eeh ndoa hizi ni nbaya kweli, huwa nahisi na naamini mapepo yote na majini yasiyo na makazi huwa yanakimbilia kuishi kwemye hizi pete zinazoitwa za ndoa.
Nilifunga ndoa ya kanisani kabisa...
Wadau nipeni ushauri,kutokana na performance yangu kwenye bed kuwa ya kiwango Cha CHINI sana nimeamua kuacha rasmi nyero, je mbinu Gani nyingine naweza kuitumia kuondoa upwiru? ( Ukiachana na...