Sasa hizi video call zimeleta shida mjini. Wife anapiga video call, mchepuko anapiga call na ole wako usipokee. Ni shida....Jamani wanaume tunafanyaje na hili zahama za video call. Maana...
Unapenda sana mabadiliko kwenye maisha yetu, lakini hakuna viumbe wagumu kubadili kama sisi wenyewe.
Ni rahisi sana kuona wengine ndio wanahitaji kubadilika.
Ni rahisi sana kuongea kuhusu...
Wanawake wamekua watu wa ajabu hasa wa kiafrika hufikia kipindi hata nguo kubadilisha mbele ya mtoto mdogo tofauti na wazungu ambao tu naona hata kwenye movie hasa za kifilipino mdada hawezi...
Habari za masiku wakuuu
Umeachwa na mpenzi wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wa kawaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua ..
Anakuonyesha wazi...
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba...
Shemeji yangu anamdanganya kaka kwamba ana mimba kumbe hana, mwezi wa 4 sasa anavisha tumbo matambara liwe kubwa, hiyo ni baada ya siku moja kumfuma bila yeye kutarajia.
Nipeni ushauri nipasue...
Bahari za leo ndugu zangu,
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Naona hili jambo kama linaniweka njia panda vile. Nina mwanaume mmoja ni rafiki yangu kimapenzi, ila tatizo lake kubwa ni kwamba hajui...
Kuna mdada nimekutana hivi karibuni katika pitapita zangu za hapa na pale lakini wakati nikiwa napiga nae story alinieleza kuwa amekuwa akiomba sana apate mume mwema katika maisha yake.
Lakini...
Ewe Mwanaume mwenzangu uliye na Mtoto hapo ulipo awe bado mdogo au tayari ameshakuwa Mtu mzima chukua mkono wowote uwe wa Kulia au wa Kushoto wa Mtoto unayeamini kabisa kuwa ni wako kisha kwa...
Shimbonyi Wose,
For a moment on my free time nimekaa, nimewaza nikawazua...nikabaki nacheka tu after remembering certain things on my love life.
Kwa mtazamo wangu sijui wengine pale mtu unapo...
Kuna mtu leo kanifanya niwaze upya huu utaratibu ni nani hasa anaepaswa kuwa mtoa mada, mama au baba? Imekuwa ni mazoea akina mama kuwa wahusika wakuu lakini kwa udadisi wangu wao hukazania...
Habari zenu wana jukwaa.
Napenda kuwataarifu kuwa natarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Natumia hii thread maalum kabisa kwa kuomba msaada wenu. Tafadhali kama kuna member yeyote anaweza...
Wana JF,
Kuna kitu kinanisumbua kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo yani nafanya mapenzi kupata kiasi siwezi kumaliza siku mbili hata nikiacha kufanya.
Niko radhi nipige hata punyeto yani...
Salaam, wana JF
Kwa mara nyingine tena naleta mbele yenu maombi yangu nikiwa naamini kwa moyo wangu wote kuwa lipo jibu miongoni mwenu. Haja ya moyo wangu ni kumpata binti au mwanamke ambaye...
Kulingana na ukaribu tulio nao amekua akinisimulia kila kitu kuhusu maisha yake. Picha lilianzia wakati akiwa Sekondari ikatokea kukosana na mwalimu wake kwa kumgombania mdada mmoja ambae alikua...
Salam wanabodi,
Kuna jamaa yetu mmoja alienda kuoa huko kijijini kama miaka 4 iliyopita. Baada ya kufika mjini akamuona mkewe ana nia ya kusoma, akamtafutia QT ya hapo maeneo ya Akiba Dar. Binti...
Mwanamke aliyependa,akazama, akimaanisha, anaweza kukaa hata Mwaka bila kufanya tendo la ndoa, kama Mme wake yuko mbali...
Uaminifu wa hali ya juu..!
Mwanaume aliyependa,akazama, tena dimbwini...
Kila jambo lina mwisho wake, kesho ni harusi yangu, kabla ya kwenda madhabahuni kuna jambo napenda kuungama maana linanitesa, naomba msamaha kama mwalimu niliwai kutembea na kijana mmoja aliekuwa...