Ex wako akirudi kuomba kuyajenga. Atakuwa na maana gani?

mis lemich

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
207
176
Habari za masiku wakuuu
Umeachwa na mpenzi wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wa kawaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua ..

Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa anataka nini.....?

Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu mtu ni wa aina gani??
 
Habari za masiku wakuuu
Umeachwa name mpenzi... Wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wakaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua .. Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa anataka nini.....? Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu MTU ni Wa aina gani??
Dunia ilimfundisha ndo mana...., si unajua ukiwa nacho huoni umuhimu wake mpk ukipoteze.Hapo kurudiana na ni maamuzi ya mtu,ila kwa mm namwambia baki na hamu zakoo
 
Nijuavyo mimi wanaume tulio wengi huwa tunakuwa na akili sana kwenye kuchagua mwanamke wa kuoa ila kula tu papuchi na kusepa hatutumii zaidi akili tunazingatia zaidi hamu ya ile kitu inamesaga yenzie ile
Baada ya hapo nini kinakuwa faida mkuu
 
Kama bado unampenda rudiana nae tu mimi nina rafiki yangu waliachana na gal wake wa tangu secondary, akarukia michepuko mingine baada ya miaka 8 akakutana na huyo gal tena kazaa wakapasha kiporo na sa hivi wameoana kabisa. Na wanamtoto tayari so inawezekana kazunguka kaona we ndo material kaamua kurudi.
 
Baada ya hapo nini kinakuwa faida mkuu
Unafikiri kuna faida yyt mkuu? Ni tamaa za kimwili tu zinatusumbua.

Ktk hili ni kwa pande zote, juma lililopita nimesafiri ktk bus toka mkoa mmoja hadi mwingine, nilikaa seat na dada mmoja wa rika langu tu, maongezi tu ya kwenye gari yalimfanya tulipofika aniombe tukalale lodge pamoja, kilichotokea ni siri yangu asee
 
Kama bado unampenda rudiana nae tu mimi nina rafiki yangu waliachana na gal wake wa tangu secondary, akarukia michepuko mingine baada ya miaka 8 akakutana na huyo gal tena kazaa wakapasha kiporo na sa hivi wameoana kabisa. Na wanamtoto tayari so inawezekana kazunguka kaona we ndo material kaamua kurudi.
Sio kwamba kawachaaa alionao.... Ingekuwa bora..... Bado ananiendelezea orodha....
 
There is that one X that I would risk my all for.. For the world would have ended around us and we wouldn't have noticed..!!!
 
Unafikiri kuna faida yyt mkuu? Ni tamaa za kimwili tu zinatusumbua.

Ktk hili ni kwa pande zote, juma lililopita nimesafiri ktk bus toka mkoa mmoja hadi mwingine, nilikaa seat na dada mmoja wa rika langu tu, maongezi tu ya kwenye gari yalimfanya tulipofika aniombe tukalale lodge pamoja, kilichotokea ni siri yangu asee
 
Katika vitu 10 anavyotafuta kwa mwanamke wewe utakuwa nacho kimoja tu ambacho wengine hawana... Na hicho kitu kimetokea kuwa muhimu kwake ndiyo maana hata baada ya kejeli zote kwako bado anarudi...

Siku akipata mwenye hicho kigezo atakumwaga mazima.. Cheza kwa akili... Haya mambo hayanaga ushauri...
 
Habari za masiku wakuuu
Umeachwa name mpenzi... Wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wakaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua .. Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa anataka nini.....? Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu MTU ni Wa aina gani??

MPENZI wako wa zamani akikurudia kuna mawili,either anataka kukufilisi, au amezunguka-zunguka huku na kule akaokota UKIMWI ndo anataka akuletee mgawane. Kama kurudiana ni inshu ya maana,kwa nini Mungu hajawahi kumrudisha Shetani Mbinguni?. "Dear friend,you are supposed to be very careful". Copy & Paste from
Chastic Chastic FB

Hapo kuna mawili huenda amejifunza kitu yuko serious au anataka akupime kuwa ukoje cha msingi mchunguze mwenendo wake then utajua umuweke upande gani
 
Katika vitu 10 anavyotafuta kwa mwanamke wewe utakuwa nacho kimoja tu ambacho wengine hawana... Na hicho kitu kimetokea kuwa muhimu kwake ndiyo maana hata baada ya kejeli zote kwako bado anarudi...

Siku akipata mwenye hicho kigezo atakumwaga mazima.. Cheza kwa akili... Haya mambo hayanaga ushauri...
ni vizuri.... Asilimia ya wanawake wanaamin ndoa ni kuhemishika. Ndio maana wanalia mkuu... Akili hii ni ziada Sana kwa mfinyu kam mi
 
Habari za masiku wakuuu
Umeachwa name mpenzi... Wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wakaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua .. Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa anataka nini.....? Anakusistiza ukiwa na Mimi maisha yako yatakuwa mazuri..."hawa wanawake siwapendi nakupenda wewe tu " ..... Is this man serious of is saying.......? Wadau niambieni huyu MTU ni Wa aina gani??
Huyo mtu ni kigeu geu na hakufai, kifupi hata kama unampenda mkimbie maana kinywa kilichozoea kuongea kashfa hakiachi Bali kitakuvutia kasi tu na baada ya Muda usishangae akawakwambia tena "wewe sio mzuri kuna Grade one"
 
Back
Top Bottom