DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,627
Nn
If you want to win me over Peterson start by being romantic.
Kama unataka nikupende ww kuliko Peterson acha kua kauzu kua romanticIf you want to win me over Peterson start by being romantic.
Cjui kama nna hv vigezoKama unataka nikupende zaidi ya peterson acha ukauzu kuwa na mapenzi mubashara
Mtumie SMS saa 12 asubuh kama anafanya kaz bas ndo unakua umemuamsha ajiandae kisses usisahau, mtumie 15,000 nauli ya uber impeleke kazinIf you want to win me over Peterson start by being romantic.
umetsh mkuuMtumie SMS saa 12 asubuh kama anafanya kaz bas ndo unakua umemuamsha ajiandae kisses usisahau, mtumie 15,000 nauli ya uber impeleke kazin
Mwambie unampenda kuliko chet cha form four
Mchana mtumie 20,000 ya lunch then mwambie na umsisitize akale kisses usisahau mwambie ye ndo mmlik halali wa tgo pesa yako
Saa kumi jion check her, with sweet words kama n jumatatu anza kumuuliza assugest weekend umpeleke hotel gan akchagua ya kizembe we komaa utampeleka Serena aka swim tu yaan kisha kisses then tell her she own daresalama...(utajua utakapotuweka)
Usiku akitaka kulala muimbie nyimbo za kihind ad apate usingizi
Fanya siku tatu tu mfululizo
I swear atasahau ata jina la peterson..
Kwa nini unaita mapenzi ya tamthiliya mkuu ?Kuwa na mapenzi ya tamthilia utampata
Is that what you perceive as being romantic ?Anamaanisha umchukue, muende kwenye bustani ya maua mkimbizane kumbizane kama wahindi.....
Kama sijakosea marisimba nayo ipoHuna telemundo kijana anza na marichui mixa Angelo na inna ili umzidi Peterson
If you want to win me over Peterson start by being romantic.
Nini kingine apart from pesa nyingi ?Anamaanisha ukitaka kumpata mpe mapesa(another meaning of 'being romantic' siku hizi) mengi zaidi ya Peterson