Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Kuna mdada nimekutana hivi karibuni katika pitapita zangu za hapa na pale lakini wakati nikiwa napiga nae story alinieleza kuwa amekuwa akiomba sana apate mume mwema katika maisha yake.
Lakini ilipofika swala la mwanaume yeye akaniambia anatafuta mwanaume anayendana nae lakini pia mwanaume ambaye amejipanga maisha ana uwezo angalau lakini sio ili mradi mwanaume.
Sasa kitu nilichojiuliza hivi inakuwaje wadada wengi mnaomba mpate mume mwema lakini huwa mnachagua mwanaume kulingana na kipato?