STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Mwanamke aliyependa,akazama, akimaanisha, anaweza kukaa hata Mwaka bila kufanya tendo la ndoa, kama Mme wake yuko mbali...
Uaminifu wa hali ya juu..!
Mwanaume aliyependa,akazama, tena dimbwini
kabisa na kuogelea kwenye mahaba ana uwezo wa kukaa 10% ya muda ambao Mwanamke anaweza kukaa bila kufungua zipu lake kwa mtu
mwingine na bado akaendelea kuwa happy na
kusema He is in Love...
Ukweli unaouma, Wanaume zipu zetu
mbovu, kinachotuokoa ni kwa sababu sometimes tunafungua zipu bila hisia yoyote kwa tunayemfungulia, ilimradi Afande abdala kichwa
wazi kaamka basi tunapiga mswaki...
Wanawake mpaka afungue kipochi ujue hisia zimetumika
labda awe gumegume.
NAKED TRUTH THAT HURTS..
Am sorry jje's