video call, zahama lingine mjini.

video call, zahama lingine mjini.

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,228
Reaction score
5,521
Sasa hizi video call zimeleta shida mjini. Wife anapiga video call, mchepuko anapiga call na ole wako usipokee. Ni shida....Jamani wanaume tunafanyaje na hili zahama za video call. Maana ukichepuka ni roho juu juu. Ikipigwa halafu isipokelewe ni kosa.
 
Siku ukiwa na show, hakikisha chaji imeisha katika smartphone yako, chukua kitochi au azma smartphone(kama anayomoja, ila kama ana zaidi ya moja chukua kitochi tu) ya mkeo nenda kapige mzigo mpaka uchoke.
 
Sasa ukizima data, hiyo case yake utajitetea vipi?
 
Back
Top Bottom