Mkewe wa ndoa kachaguliwa kuendelea kidato cha tano akitokea QT

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,986
Salam wanabodi,

Kuna jamaa yetu mmoja alienda kuoa huko kijijini kama miaka 4 iliyopita. Baada ya kufika mjini akamuona mkewe ana nia ya kusoma, akamtafutia QT ya hapo maeneo ya Akiba Dar. Binti akaanza mwaka 2014-15 akamaliza akawa kapata Dv2 na akachaguliwa kujiunga na shule ya serikali "humo humo" mjini kwenu.

But kwa wakati huo akawa mjamzito na hakwenda, now anafanya mishe ili aende ata private maana kishajifungua. Sasa jamaa hana raha maana hajui itakuaje kisheria, maana ni kama vile ameoa mwanafunzi na umri wake ni miaka22 sasa. Je sheria inasemaje juu ya hili jambo?

Nawasilisha
 
haha acha tu mpendwa bora ingekua nakutunuku....
nipo tu busy na field,na hivi wakituonaga sisi ndo wanatupumzikia basi shida tupu...
aaaaa! ila ile kitu ya mwanzo mkulu uliyepangiwa ameipitisha sasa unakusanya mavitu au bado? kipindi hiki kitakuwa kigumu, ushughulikie hayo makitu, ujiandae kuya defend, bado Samora, Fanon panakusubiri ukasilikize majambo! pole na hongera.
 
QT anachaguliwa na serikali kuendelea kidato cha tano??!!. Jamani viroba si vimepigwa marufuku? Huyu mwenzetu kanywa nini tena?
Yes mkuu.
Alisoma QT ya serikali pia.Na sheria inasema akiwa chini ya miaka 23 anachaguliwa serikalini mkuu.
 
kumbe mke/mchumba anasomeshwa?
shule zipo nyingi tu za private za day jamaa atafute mama aende shule na kwa vile anajielewa atafaulu tu.kama yupo dar anipm nimpe shule nzuri ya a level ya day.
Inshu siyo shule mkuu.Inshu ni sheria inasemaje?maana yeye ni mke wa mtu.
 
aaaaa! ila ile kitu ya mwanzo mkulu uliyepangiwa ameipitisha sasa unakusanya mavitu au bado? kipindi hiki kitakuwa kigumu, ushughulikie hayo makitu, ujiandae kuya defend, bado Samora, Fanon panakusubiri ukasilikize majambo! pole na hongera.
sante maa
 
Salam wanabodi,

Kuna jamaa yetu mmoja alienda kuoa huko kijijini kama miaka 4 iliyopita. Baada ya kufika mjini akamuona mkewe ana nia ya kusoma, akamtafutia QT ya hapo maeneo ya Akiba Dar. Binti akaanza mwaka 2014-15 akamaliza akawa kapata Dv2 na akachaguliwa kujiunga na shule ya serikali "humo humo" mjini kwenu.

But kwa wakati huo akawa mjamzito na hakwenda, now anafanya mishe ili aende ata private maana kishajifungua. Sasa jamaa hana raha maana hajui itakuaje kisheria, maana ni kama vile ameoa mwanafunzi na umri wake ni miaka22 sasa. Je sheria inasemaje juu ya hili jambo?

Nawasilisha
Wanawake tunao ogopa kuwasomesha ni hawa wanao itwa wachumba/ ambao hatujazaa nao.

Mwanamke kama ameshakuzalia msomeshe maana hata akibadirika huko mbeleni hatamtupa mtoto wake.........!
 
Back
Top Bottom