Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?