Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,772
Nahitaji nasaha zenu.
Ata fake tu kama anaona hakuna dalili za wewe kumfikisha. Na hii inatoke mara nyingi pale ambapo unakuta aidha mwanaume hajawahi kumfikisha au ana mfikisha mara chache. Lakini kama ni mara nyingi anafika hana haja ya kufake.Aisee hilo ni tatizo sugu aisee! They fake it most of time! Hata huwezi kutofautisha
Mchungaji katika ubora wako....Kwan ww nani aliiye kuambia km kuna kilele???? Ndo umeoa juzi au Bujibuji???? Unakula chakula ili kushiba au ili uishe kwny sahani???
Sasa najibu km Mchungaji, tunafundisha kwamba ni vema na inapendeza kwa wanandoa kuulizana km mwenzi ameridhika pale mnapomaliza TENDO LA NDOA. Na kama mmoja atasema bado, basis ni LAZIMA KUMTIMIZIA MWENZAKE.
Umeelewa hapo ww bujibuji??? Na wengine TAFADHALI MZINGATIE HILO KWA JINA LA YESU KRISTO
Ni lazima umfikishe ili wote mfurahie neema za Allah.Nahitaji nasaha zenu.
Round ya kwanza atakwambia amefika, anahitaji mapumziko, baadae tena mtafanya weee hadi unajisikia kuumwa, anasema dear me bado endelea tuu, hapo mmefanya masaa manne mfululizo, kesho ukifika ofisini umechoka kabla haujaanza hata kazi yenyeweKwan ww nani aliiye kuambia km kuna kilele???? Ndo umeoa juzi au Bujibuji???? Unakula chakula ili kushiba au ili uishe kwny sahani???
Sasa najibu km Mchungaji, tunafundisha kwamba ni vema na inapendeza kwa wanandoa kuulizana km mwenzi ameridhika pale mnapomaliza TENDO LA NDOA. Na kama mmoja atasema bado, basis ni LAZIMA KUMTIMIZIA MWENZAKE.
Umeelewa hapo ww bujibuji??? Na wengine TAFADHALI MZINGATIE HILO KWA JINA LA YESU KRISTO
Huyu Mchungaji kama hana tofauti na Pastor Gabriel wa IsidingoMchungaji katika ubora wako....
Baba mmoja mama mmoja matumbo mbalimbaliHuyu Mchungaji kama hana tofauti na Pastor Gabriel wa Isidingo
Hili nalo jipu
Hujaoa umemuuliza nani? Kumbe mchungaji huwa unaacha kondoo wakati mwingine unachepukaUmeelewa hapo lakini, wengi huwa wanashindwa kusema lkn inapendeza kusema km BADO au UMERIDHIKA
Nawe unaulizaga?Nilipata kusikia kati ya maswali kina dada wanachukia kuulizwa haswa akiwa katikati ya mechi ni ''Darling umeshako..a nasikia huwa wanatamni kukutukana ni vile tu hawana namna...