Kuna wakati mwanaune huamua kumwoa mwanamke asiyempenda ili tu kukidhi haja fulani iliyopo ndani ya moyo wake. Zipo sababu nyingi zinazompelekea mwanaume kumwoa mwanamke asiyempenda kama vile...
Habari wana jukwaa hili pendwa
Nlilipotea kitambo kidogo more than one year kutokana na u busy mwingi si unajua mwanaume lazima upambane? ok now am back let go straight to the point.
Iko hivi...
Oyaa masela eeh mambo vipi nadhani mko poa, niliona uzi wa Stunter unaelezea jinsi ya kupiga show for long time, hahahaha nilifurahi maana nilikuwa kwenye reseach ya hii kitu ila mimi nimefanya...
SIFA ZA SEHEMU MBALI MBALI.
TANGA mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa
shanga.
ARUSHA kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
MANYARA usipoua simba we boya tuu.
MARA
Demu akiwa hapigwi anaomba...
Habari wana Jf,
Mara ya mwisho nilizungumzia juu ya baadhi ya sababu ambazo hufanya wengi wa wanaume kusita/kusua sua kuingia katika ndoa kupitia mada hii -...
Habar wana JF Natafuta girl alie na shida kama yang i mean natafuta mchumba miaka at least awe na 18=>23....
Mimi nina umri wa miaka 22 nina kaz inayoniingizia kipato alie tayar ani PM ni hayo 2.
Katika pitapita zangu nimekutana na mjadala huu;
Usemao makosa matano ya mwanamke yanamfanya mwanaume kumsaliti mwanamke katika uhusiano.
1.Mwanamke kumnyima papuchi mwanaume wake.
2.Mwanamke...
February 18 Mwaka huu Mwenza wangu alipata ajali ya gari, na baadae aligundulika kua amevunjika nyonga hivyo alifanyiwa upasuaji Muhimbili
Mpaka sasa tunamshukuru Mungu anaendelea vizuri.
Tatizo...
Habari zenu wana MMU,
Leo nimeona niwaletee kisa ambacho kilinikuta miaka michache HUKO nyuma.
Nikiwa chuo mwaka wa Pili katika pita pita zangu za mitaani nilikutana na binti mrembo mwenye asili...
1.Pato la familia litaongezeka
2.Malengo yatakamilika Haraka
3.Familia itaongezeka
4.Kulea watoto wengi wa wanaume wenzako
5.Mwanaume kuachika!
6.Unapomfungulia mwanamke biashara jiandae...
Habari za asubuhi wana jf wenzangu.
Kuna swali nimekuwa najiukiza usiku na mchana ,kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu yalosahihi,
Nikaona isiwe tabu wacha nililete humu huwenda...
Hello everyone, I am a woman who is looking for someone to start a friendship with a guy which could lead to other things. I am 31, I have 1 child. I have a PhD. I am down to earth and easy going...
Habari,
Kesho itakuwa siku muhimu katika maisha yangu kwani naenda kupima umri wa maisha niliyobaki nayo, naogopa kweli coz nilipita njia sio salama. Mchumba wangu ana mimba kesho ndo clinic...
We MWANAMKE fikiria Mara 2 kabla hujamkataa wanaumme...
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayary...
Rejea mada tajwa hapo juu: kama ilivyozoeleka kumpata demu hadi kauongo kahusike ..binafsi nakumbuka demu wangu nilimwambia kwamba sijawahi kuwa na mpenzi mwingine zaid yake...dah c...
KIJANA EPUKA kufanya PUNYETO ina madhara kiafya.
Punyeto ni aina ya mapenzi ambayo mtu huyafanya binafsi, ukiwasikiliza vijana wengi watakuambia wanatumia sabuni n.k ili kufanya mapenzi binafsi...
Habari wana JF,
Hivi umewahi kukutana na swali hilo toka kwa mpenzio? Na je pana changamoto yoyote kati ya wawili wapendanao sababu ya kabila la mmoja wao?
Tushirikishane uzoefu na kama uko...
Habarini za mchana wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa muu wazima na mnaendelea na maandalizi ya kumpokea mtoto Yesu kwa wale wakristo wenzangu. Baada ya kusema hayo nirudi moja kwa moja kwenye...
Kwenu wanaume wenzangu. Nimefanya utafiti wangu ambao si rasmi na nimegundua ukitaka kuwa na umiliki wa dhati kwa mwanamke ni lazima uwe umemwachia alama (mark) moja ama vizuri zaidi iwe zaidi ya...