Fahamu makosa 5 yanayowafanya wanaume tuwasaliti wanawake

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,215
3,682
Katika pitapita zangu nimekutana na mjadala huu;

Usemao makosa matano ya mwanamke yanamfanya mwanaume kumsaliti mwanamke katika uhusiano.

1.Mwanamke kumnyima papuchi mwanaume wake.

2.Mwanamke kujitangazia shida kila siku kwa mwanaume.

3.Tabia ya kisirani hii ikiwa kila saa kumfokea mpenzi wake.

4.Mwanamke kutaka vitu vya gharama kuliko uwezo wa mwanaume.

5.Tabia ya kuomba pesa kupita maelezo au kiwango.

Haya ndo mambo yanayofanya tupige na kusepa zetu.

Haya. Endeleni kutaja
 
Yaani dharau zote umeona hazitoshi ukaamua kutuandikia miherufi mikubwa!!!? Hivi unatuchukuliaje kwa mfano?
 
Back
Top Bottom