Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Habari za asubuhi wana jf wenzangu.
Kuna swali nimekuwa najiukiza usiku na mchana ,kwa kipindi kirefu sana bila kupata majibu yalosahihi,
Nikaona isiwe tabu wacha nililete humu huwenda tukasaidiana mawazo katika hili .
Nimekuwa nikijuliza kwanini inakuwa hivi ?
mfano unakuta ;mimi "A" nampenda "B" wakati "B"anampenda "C" na "C" naye anampenda "D"?
kwa Lugha rahisi ni hivi ,unayempenda ww kuna mtu anampenda na anayempenda yeye basi naye kuna mtu naye anayempenda .
Hili limekaaje jamani?
Ebu nipeni ufafanuzi na uchambuzi wenu niweze kulielewa hili...