Faida na Hasara za kumfungulia mwenza wako Biashara!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
1.Pato la familia litaongezeka

2.Malengo yatakamilika Haraka

3.Familia itaongezeka

4.Kulea watoto wengi wa wanaume wenzako

5.Mwanaume kuachika!

6.Unapomfungulia mwanamke biashara jiandae kisaikolojia na yote hayo,ili yakitokea yasiwe mageni kwako! Ni jambo la kawaida sana.......
 
Unamfungulia alafu anakuacha na anabaki na business? Hehe utakua mjinga labda ka ni kibiashara kidogo, ila kama ni biashara kubwa utakua mjinga kufungua bila kuandikisha na kubeba majority share.

Ila turudi kwenye ukweli hadi unaoa hujamchunguza tabia? Kama mke anataka umfungulie biashara mfungulie tu acha kutafuta visingizio, ni mke wako sio jirani. Mara nyingi tunaoa our equals, mtu mnayefanana tabia, sasa am starting to doubt op
 
It depends kila mtu na jinsi alivoumbwa ukibugi katka uchaguz wa kuoa ni umebugi tu.umfungulie biashara uusimfungulie akiamua kukukimbia atakukimbia tu.
 
No Escape said:
Hawana kujuana hawa watu believe me,kubadilika ni sekunde Tu....wanaangalia upepo tu.
Hawa watu hawatabiriki.Mimi limenikuta hilo
 
Halafu sasa itokee mambo yaende vibaya ofisini na uanze kumtegemea yeye, hapo ndo kiini cha dharau, ujeuri, kiburi na yeye ndo mwenye sauti......unajikuta unakua housekeeper nyumbani kwako, unaamua tu uende kukagua mashamba kijijini, nina experience na hiki kitu, pls don't try this!!!! Na ukijaribu basi wewe ndo uwe na share kubwa........!!!!!
 
It depends kila mtu na jinsi alivoumbwa ukibugi katka uchaguz wa kuoa ni umebugi tu.umfungulie biashara uusimfungulie akiamua kukukimbia atakukimbia tu.
Mkuu sina hakika kama umeshaoa au unaongelea maoni ya wengine vijiweni, hakuna mtu anayekosea kuoa.......unaweza kuoa changudoa na akabdilika, ila pia unaweza kuoa mlokole, nyumbe ikageuka kanisa na ukumbi wa wapendwa......!!! Kumbuka hata ukichelewa kurudi atakuambia ni pepo na atahitaji msaada wa wapendwa.....kila siri yenu watakua nayo wapendwa!!!! Hapo sasa ndo utajua nini maana ya kukosea kuoa
 
Na control ya mwanamke ni mwanaume.wanaume tumepewa uwexo wa kuwa juu ya hawa viumbe so iweje yeye aende kushoto wakat we unataka aende kulia.mabadiliko ya mwanamke yanasababishwa na me we unamfungulia biashara hafu unataka tena kumpiga mzinga wa hela ya fegi kila muda
 
Mbona hata wanaume wengine wanakua na tabia hizi,tena sikuizi ndio wameshamiri wamekua kauzu bila aibu wanakwambia basi mke wangu tufungue biashara hii na hii matokeo yake anakuwacha anakuona wakazi gani,kwahiyo wapo kwa wanawake na wanaume pia...
 
Mwanamke mwenyewe ni biashara tosha hapo nyumbani ambae anaingiza faida tu daily na vipi ukimuongezea biashara nyingine
 
Siwezi mfungulia biashara ili iwe yake
Nitafungua ili yeye asimamie tu nampa 10pc yamtosha afu mie ndo Bosi wake
 
Back
Top Bottom