Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Kwenu wanaume wenzangu. Nimefanya utafiti wangu ambao si rasmi na nimegundua ukitaka kuwa na umiliki wa dhati kwa mwanamke ni lazima uwe umemwachia alama (mark) moja ama vizuri zaidi iwe zaidi ya moja ili uweze kuwa na umiliki kwake pasina shaka yeyote.
Mambo yenyewe ni haya;
1. Uwe ni mwanaume wake wa kwanza maishani - kama mwanamke uliyenaye wewe ndiye wa kwanza kwake unaweza kummiliki pasipo shaka na bila hofu ya yeye kuwa tofauti.
2. Ukiwa ndiye mwanaume wa kwanza kumfikisha kileleni - hapo unaweza kuipata heshima yake maishani mwote kama bado upo naye maana atakukumbuka sana.
3. Kama wewe ndio wa kwanza kumzalisha - Hapa unaweza usiwe na umiliki lakini utabaki kwenye kumbukumbu yake maisha yote. Na hivyo ukiboresha na mengine unaweza kuwa na umiliki kwake.
Ikiwa mwanaume mke uliye naye hukumkuta bikra, na ikiwa kabla ya kuwa na wewe alishazaa au pengine kutoa mimba kabla ya wewe kuwa naye na mwisho ikiwa alishawahi kufikishwa kileleni huko nyuma hivyo jambo hilo kalizoea jua kuwa umiliki (control) yako kwake ni 50% ambayo utahitaji kuiboresha kwa pesa, matunzo, kumjali nk.
Kinyume na hapo unaweza kushtuka umebaki na manyoya.