Wee Mwanamke Ebu Fikiria Mara tu Kabla ya kumkataa Mwanaume

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
We MWANAMKE fikiria Mara 2 kabla hujamkataa wanaumme...

Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume =2.2 billion

Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayary
Million 200 =wapo jela na wengine machizi
wanabaki billion 1

Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mahanisi (gays)
3% = walokole
10% = jamaa zako
Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66

Sasa we endelea kukataa wanaumme utajioa mwenyewe


Usiku Mnono
 
Sasa tutawakubalia wangapi??
Hata hivyo hakuna kaburi za wasioolewa wote tunazikwa uwanja mmoja
 
  • Thanks
Reactions: THT
We MWANAMKE fikiria Mara 2 kabla hujamkataa wanaumme...

Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume =2.2 billion

Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayary
Million 200 =wapo jela na wengine machizi
wanabaki billion 1

Kati ya hao billion 1
Million 500 = hawana kazi
wanabaki million 500
Kati y hao
5% = mahanisi (gays)
3% = walokole
10% = jamaa zako
Waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66

Sasa we endelea kukataa wanaumme utajioa mwenyewe


Usiku Mnono
Umesahau wanaume hufa halaka kuliko wanawake so wajane ni wengi kuliko mabint! tafakari, chukua hatua, tafuta pesa hutakosa mrembo umtakae.
 
Sasa tutawakubalia wangapi??
Hata hivyo hakuna kaburi za wasioolewa wote tunazikwa uwanja mmoja
Kuna wanawake wengine pia wanagombewa na wanaume as if wanawake wengine hawapo. Chukulia hawa wasanii kama akina Wema...huwa nashangaa.wanaume tukoje mpka mtu anaweza kupoteza resources zote eti ni Wema!. Kwahiyo mwabie huyo kwamba hata wanawake wanaogombewa wapo.
 
Back
Top Bottom