Sifa za sehemu mbali mbali nchini Tanzania

Sifa za sehemu mbali mbali nchini Tanzania

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Tanzania.jpeg


SIFA ZA SEHEMU MBALI MBALI.

TANGA mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa
shanga.

ARUSHA kama huna meno ya dhahabu unatengwa.

MANYARA usipoua simba we boya tuu.

MARA
Demu akiwa hapigwi anaomba talaka.

MWANZA
Mtoto mchanga wa siku 1 anapewa ugali
sio maziwa.

KAGERA
Huko hata barabara ya vumbi wanaita
flyover.

KiGOMA
Kati ya watu 10 basi 8 sio watanzania.

SHINYANGA
Kuokota hirizi ni kama kuokota jani la
muembe uchawi no stress.

TABORA wasomali wengi kuliko waswahili.

DODOMA
Mtoto anazaliwa kanyoosha
mikono.anajifunzia uomba omba tumboni.

RUKWA. hawa hata hawajui km wapo tanzania.

MBEYA
Huko wanawake wamekomaa kuliko wanaume
inaganda.

IRINGA kujinyonga ni ushujaa.

MOROGORO
Wanaamini wao ni wajanja kuliko dsm.

PWANI
Hawa ni mgambo wa jiji la dsm.wanalinda
mkoa.

LINDI
Mkoa mkubwa ila wote ni hifadh ya
wanyamapori.

MTWARA
Usipokula panya unaonekana mwanga.

RUVUMA
Huko naskia hawatumii Tanzania shilingi wanatumia
kwacha.

DSM
Kila mtu tapeli. Unaweza kujitapeli hadi nafsi
yako.

KILIMANJARO
Ikifika december mji unajaa. sijui hata
watu wanatoka wapi?

SINGIDA Wanapenda kuigana GUEST nyingi kuliko vibanda vya M PESA.


Je Wewe unatokea mkoa gani kati ya Mikoa hii?...
 
Anza wewe unatoka mkoa gani maana naona hii thread ya udhalilishaji tu. Au ndo stess za kukosa kazi.
 
Hii kasumba ya kusema watu wa kgoma sio raia sijui mnalishwa na nani?! Huko uhamiaji watu wanahahazwa utadhani wakimbizi...
Ungesema ubishi ungepatia tena ni sifa ya wanaume,wabishi na wanaongea saaaanaaaaa!!!!!!..
Japo wanajua kuhudumia mwanamke wakipenda!
 
Back
Top Bottom