Habari za Maisha Waungwana!!?
Kuna umri ukifika unakua na msukumo flani as kijana kua unataka kupiga hatua hii na ile katika maisha na wakati mwingine mambo yanapo kua hayaendi sawa unavunjika...
Siku hizi tumekuwa kama wanaume wenzao wanafanya wanachotaka yaani hawatuogopi kabisa,heshima hakuna tunaishi kama kambare! Utampa huduma zote kula,kulala atavaa vizuri lakini bado kuna siku...
Kwa mtazamo wangu huo haumaanishi kwamba wanawake walio juu ya umri huo hawana sifa ya kuolewa, hapana. Vijana mnatakiwa kuwa makini katika suala zima la kujenga mustakabali mzima wa familia...
Igweeeeeeeeeeee,
Ndugu wana jamvi Mimi nikijana ambae nasoma chuo Fulani hapa mjini dar es salaam na nimwalimu halimashuri Wa secondary halimashauri hapa Tanzania.
Naomba ushauri kwenu kwa...
Habari wapendwa,
Tafadhali yule kaka aliyekuwa anahitaji mwenza mwenye tatizo kama lake la kutoweza kumpa ujauzito naomba anitafute kama bado ajampata huyo mwanamke.
Hellow hellow, kama wewe ni mama au unatarajia kuwa mama nakupa hongera yako, ila wale mabishoo au wanaokula ujana piteni pembeni. jamani akianmama wanakazi ngumu nasema ni nguuumu tena saana...
Hivi, huu utafiti umefanyiwa wapi? Na nani? Kwanini? Na ikiwa ni kweli, nani amehalalisha uwe mzinzi? Kwasababu sijaona mkizungumzia kuoa wanawake wengi, bali wazinzi wanazugumnzia kugegeda...
Habarini,
Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.
Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya...
Kuna mada nyingi sana huwa naziona hapa jamii forums kwenye MMU zikianzishwa na wakina dada wengi wakizungumzia kwamba hawawezi kutoka na wanaume wasio na hela au wanaume suruali. Hata wanaume...
Habari wanaJF,
Wenzangu na heri ya pasaka japo nimechelewa kuwatakia heri,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,
Ni mjadala ambao nimekuwa nikiusikia mara kadha na kiukweli kwangu mimi...
Habari za jumatatu ya pasaka wapendwa. Nilichokiona leo saa alfajiri, kimenifanya nifikilie hali itakuwaje kwa hawa mabinti zetu mwaka michache ijayo.
Hivi inakuwaje binti unatoka kwenu kwa...
Watu wengi wamekua wakiji uliza ni ipi apps nzuri ya ku edit video na picha en share it on social media. Bas ingia playstore uandike kama uonavyo kwa picha apa. Pia uliza apps yoyote utapata
Huyu Raisi tuliyenaye kafanya maisha yawe magumu sana mtaani pesa hazionekani, vyakula bei juu kama vile mchele, sukari na unga. Kutokana na Hali hiyo biashara ya dada poa imeshamira sana kwenye...
Habarini za pasaka!!
Hakuna jambo baya Kama mwanaume kutokujitambua. Kuwa mwanaume ni heshima kubwa hakuna asiyejua. Si Wanyama si ndugu zetu wanawake hilo wanalijua.
Sasa wapo wanaume ambao...
Habar za jioni marafiki, naomba mtu yoyote ambaye yupo Kigali anisaidie kunipa kampani ili nipajue vizur kigali. Nitakuja kwa matembezi tu ya siku moja maana bajeti ni ndogo sana.
26 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT WOMEN TODAY!!!
1. A little ‘thank you’ could strengthen her.
2. Even when she knows she’s Beautiful, she would like hearing it from you sometimes.
3. A...
salamu!
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta girlfriend mwenye sifa hizi
Umri: 18-29
Elimu: awe anajua kusoma na kuandika
SIFA ZANGU
Umri: 30
elimu:masters
Kazi:nimeajiliwa sekta binafsi...