Habari za Pasaka. Jana ilikuwa sikukuu hivyo nilipata mialiko. Ajabu nilikataa mialiko yote nikaamua kukaa nyumbani peke yangu siku nzima na sikuboreka hata kidogo kwasababu nishazoea na nilipanga...
Moja ya Maswali ya kuepuka kumuuliza mtu ikiwa hujaonana naye kwa muda fulani
1. umeshaoa?umeshaolewa?
2. una watoto wangap sasa?
3. kazi upo wapi?
4. huyu ndo mkeo?
5. huyu ndo mumeo?
6...
Una Boyfriend, Unampenda ile mbaya,anajua
unampenda na hufurukuti,anakusumbua
kwelikweli, wewe na kisima cha machozi ni Mutual
Friends, kwa mwaka unalia mara nyingi kuliko
Kikundi cha Waombolezaji...
Kwanza kabisa, "habari zenu wana JF",
Kuna ishu inanitatiza sasa nashindwa kuelewa, kuna msichana fulani nasoma nae chuo hapa Dar kuna mambo flani nashindwa kuelewa tangu nianze kuona hisia za...
Habari,
Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima.
Maelezo zaidi ni PM.
Napata malalamiko
kutoka kwenu kwamba kuna muda Boyfriend
zenu hawapokei simu wala kujibu message...Mnachukua strange numbers mnabeep, wanapiga simu...mnahoji kwanini Wanafanya hivyo na
kwanini...
Kana kansungu kansungu Mwelu upo?....:)
Men Who Do Housework May Get More Sex: Report
Thursday March 6, 2008
By David Crary
The Associated Press
Men still don't pull their weight when...
PART 1: Baby kabla yangu umekuwa na Ma-Ex wangapi
GIRL: mmmmm(huku anaangalia juu,anahesabu 1,2,3),wewe ni wa 3..
Sijawahi kuona Msichana anasema ana ex 28, wao woote wanajua 1,2,3,4...
Habari za Weekend waungwana,
Kuna jambo hua nashindwa kulielewa hasa kwa baadhi ya wadada, unaenda kukutana na mpenzi wako why lazima uende na shoga? Unaenda nae ili iweje? Au why asikilize...
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu
Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15.
Tangu naingia kwa...
Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ...
Habari wana jamvi,
Its almost a year sasa nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume kwa mara ya kwanza. Hali iliyopo sasa nahisi kufa kwa mawazo, ninashinda nalia peke yangu, sometimes...
Wakuu Watoto wadogo Kabisa akiwa na Siku ya Pili Jogoo anawika Asubuhi na Siyo lazima Asubuhi tuu Mimi Mwanangu Mda mwingine hata wakati anaogeshwa Unakuta Jogoo Kasimama najiuliza huyu Mtoto...
Wadau Habari mm ni kijana Nina mke wangu mmoja yapata mwezi mmoja mke wangu alinipa ombi niongeze mke wa pili ila kwa mashart ya kumuoa rafiki yake kipenzi ambae wamesoma wote chuoni kwa miaka...
Kuna mambo yanapoendelea kuwepo kati ya wanandoa huwa kunapatikana furaha na amani katika maisha ya kila siku, ila kwa bahati mbaya kabisa amani na furaha hiyo huonekana kama haipo kutokana na...
Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa.
Natafuta mke mwema...
Habari za mda huu wanajamvi,
Leo nimeona nije na hii. Kuna mtindo unaendelea sasa hvi hapa town, eti ili mwanamke apendwe na kupangashiwa nyumba kali, kutolewa out na hata kununuliwa gari na...
Jana usiku nilikuwa naangalia taarifa ya habari on Citizen TV, kuna mama mmoja mwenye hasira kweli kweli alielezea kuwa yeye pia ni mke halali wa Mwanasiasa Otieno Kajwang (mwanasiasa wa hapo...