Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sitakuja kuoa kamwe. Siamini kwenye Mapenzi

Sioi kamwe inamaanisha ntakuwa na mchumba ila ndoa siwez jaribu maana najua moto wake
 
sitaki kupenda niumizwe,sipendi ngono,natafuta hela sitaki mawazo ya kuwazawaza najipenda tu mwenyewe. maana nilizaliwe mwenyewe nanitakufa mwenyewe.siamini kupitia mapenzi naamini kupitia pesa.
Kama huna hela, we endelea kutafuta hela mapenzi achia magwiji
 
Back
Top Bottom