Ni yupi rafiki wa kweli ? Na utamjuaje?

Ni yupi rafiki wa kweli ? Na utamjuaje?

Kichwa kinajieleza wakuu utamjuaje""rafiki wa kweli. yani kwamba huyu ni rafiki wa kweli kwako utamjuaje

Karibuni kwa maoni.
Kwa usalama wako ,
Jua tu hakuna rafiki wa kweli , ukiona mtu ni rafiki yako jua tu ,Yuko karibu na wewe kimaslahi.

Kama unabisha tafuta rafiki ,
Alafu Mimi nitajua tu utakapo andika Uzi

Ukisema

KAMWE USIMUAMINI RAFIKI.
😂😂😂😂😂

Asante.
 
Vipindi vya matatizo ndio Utajua rafiki wa kweli, sio Kwa lengo la kuvushwa kwenye shida laah Bali ule ubinadamu unaotarajiwa kuonekana ndio dalili yenyewe ya kujua huyu ni wangu au...
 
Back
Top Bottom