Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimeliona hili muda mrefu na mahali pengi na hili sakata la Zari kuhusu mali ndo limenikumbusha nkaona nishee nanyi. Imezoeleka wanawake wengi walio kwenye ndoa au wanaoishi bila ndoa na wamezaa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF Ramadhani Kareem, Nashangazwa sana kwani asilimia kubwa ya wanawake aina huwa hawapo katika ndoa japo wapo katika mahusiano na wengine wana watoto kabisa na kama yupo anaeishi...
6 Reactions
156 Replies
18K Views
Habari wapendwa. Natumai weekend inakwenda vizuri. Kuna vitu vingi mwanamke na mwanaume wakiwa kama wanandoa yawapasa watekeleze ili waweze kufurahia ndoa yao.Leo napenda kushare nanyi haka ka...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Jamani msinichoke, kuna msichana wangu ananikwaza sana, tunaishi mbalimbali ila tupo mkoa mmoja, tatizo kwa huyu msichana ni matumizi ya simu, yani unaweza mtumia text hata 100 lakini usijibiwe au...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Igweeee!!! Wikiendi hii nilikuwa na mtoto mkali sana. Mtoto kajaliwa Zigo la maana, upaja wenye uzani wa juu. Rangi ndio usiseme yaani mtoto unaweza kusema hakuumbwa na udongo. Huyu mtoto Kwa...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa...
5 Reactions
14 Replies
7K Views
Leo naomba niwaambie ukweli wanadada. Unakuta mdada kajipaka malips stick mekundu ukimuangalia domo jekundu utadhani mchawi katoka kula nyama za watu. Mimacho kaipaka mirangi yaajabu usipo...
16 Reactions
110 Replies
13K Views
Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband. I'm masters degree holder, TPA worker , polite and humble lady. I'm virgin. I like children, reading, visiting sick people in...
8 Reactions
182 Replies
17K Views
Habari za usiku wana jukwaa ,ni kwamba nina mpenzi ambaye tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa hali ya kuwa kila MTU anaishi kivyake yaani yeye anaishi kwao.Mwaka Jana mwezi wa 11 mwishoni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Unakuta mdada mzuri ila ana mikucha mirefu kama shetani sasa najiuliza huko chooni wanachamba vipi,ndio maana mnaugua maradhi ya U.T.I
14 Reactions
115 Replies
14K Views
Salut a tout le monde!! Aged 35, tall, average weight, christian, graduate, employed etc. Uwe: max 30, graduate(preferred), tall (not less 170cm), average weight, no kid(s), stable income etc...
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Ni swali tu hivi kati ya binti aliepewa mimba akazaa halafu huyo mwanaume aliemzalisha akaoa binti mwingine na binti aliedumu na mwanaume kwenye mahusiano kwa miaka takriban tano halafu akajatoswa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Naamini kbs jamii forums ni gwiji wa ushauri ,, Miaka kadhaa iliopita Nilikua Tanga kwa mapumziko kwasababu ndo nyumbani sasa ktk pitapita zangu nikakutana na kijana ambae tunafahamiana...
2 Reactions
45 Replies
12K Views
Habari wana jf, Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume nafanya kazi ktk private sector. Kipato changu na maisha yangu ni vya kawaida. Kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani wadau, napata shida sana na huyu demu wangu, hataki kabisa habari za ku sex, anadai kuwa mpaka nimuoe ndio kila kitu chake nitakipta tena katika hali ya juu, alafu kitu kitu kinaitwa denda...
1 Reactions
69 Replies
14K Views
Mimi ni mwanaume, nna miaka 28 nna kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina umri wa Miaka 23 Nasoma Shahada ya Udaktari Mwaka wa Pili Niko Dar es salaam Natafuta Rafiki wa Kike Umri awe 18-21 Sibagui Dini Awe anaishi Dar es Salaam Awe mwanachuo wa chuo chochote Awe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 31 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo: Umri 20+ Elimu: Kidato cha nne na kuendelea Urefu: 173 cm na kuendelea Dini: Mkristo Mwenye sifa anitumie...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
[emoji117]SWALI KWA wanaume !! Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!! Upo home unaishi na wazazi pamoja na dada yako, sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…