Dah wadau msaada wenu kuna dem nilikuwa namfukuzia sasa kila nikitaka nionane nae bila ya yeye kujua inashindikana sasa siku ikabidi niombe namba yake, siku napewa ile namba kumbe haikuwa yake...
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa.
Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano...
Sharti moja lililowashinda waganga wengi wa kienyeji ni utamanifu na kushindwa kuidhibiti tamaa hata kumtongoza mteja....akithubutu kufanya hivyo anajimaliza mwenyewe
Hapa nazungumzia wale ambao...
Dorcas, msichana wa miaka 30 anayefanya kazi kama Afisa Mikopo kwenye benki moja mjini, hakuwahi kufikiri ingetokea siku moja ‘achepuke’ kimapenzi na Johnson ambaye ni mfanyakazi mwenzake. Miaka...
Habari MMU.
Kwa kweli napata wakati mgumu sana kumwelewa huyu mtoto mzuri niliyenaye anataka nimkaze kwa namna ipi. Simwelewi anataka nimkojoze ngapi ndio aridhike coz nikimkojoza vitatu ambavyo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Wakuu,Nimeamini kweli Shetani kwa Mazingira fulani anashindwa.Hahahaaa.
Ilikuwa hivi; Jana mishale fulani ya 22:05 Hours, nikiwa niko geto...
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia...
Heshima kwenu mabibi na mabwana
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishangazwa na hii hali ya mashoga wale maarufu mjini kuwa makungwi au masomo wa kuwafunda mabinti (mwali)
Inamaanisha mama zetu...
Oya niaje wadau,
Ni kwamba wadau mlio katika mahusiano humu mnatuzingua kichizi unakuta mtu anacomment kwenye thread mara utaona cc (his/her love) kwani unamuonesha nani kwamba una mtu au hauna...
Nianze na mimi binafsi nina mchepuko wangu tupo nae takribani miaka 3, na mwezi wa11 anaolewa na bwana wake washatoleana mahali. Lakini hyo my side chick hataki kabisa tuachane na jana tu nilikuwa...
Natumai mu wazima wana MMU.
Nasikitishwa na yanayoendelea kwa rafiki yangu aliyenizidi kama miaka minne hivi. Huyu rafiki yangu anapenda wanawake wembamba warefu kidogo na ndio maana alioa...
Tangazo la Msiba.
Ninatangaza msiba wa Baba ya Rafiki yangu mpenzi aitwaye Sunghwa Fortunatus, uliotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Segerea.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe...
1. Poleni kwa majukumu. Nusu mwaka imekata hivyo.
2. Naandika kwa wazazi/walezi kwenye maisha poa, hasa kina mama. Wengine wapo humu JF.
3. Akina mama wenye familia bora huwaringishia na...
Habari za jioni,
Mng'ato wa mapenzi - kung'atwa kwa kupenda - mapenzi ya kung'atana - alama ya kuonesha kuwa umetoka kuchubwika n.k. n.k.
Japo ni mambo ya kizungu inatuhusu maana tumeiiga na...
Habari wana mmu;
Mimi ni kijana nina umri kadhaa na nina kibiashara changu hapa mjini kinachonipatia kipato.
Nilikuwa na mahusiano na bint takriban miaka 2 sasa nimekuwa nikimhudumia kwa kila...
Unapoishi na mwanamke ni vyema ukajua yeye ni kama mchezaji uliomsajili katika timu yako, ipo siku anaweza akahama team.
Au akakodiwa kwenda kucheza ndondo ya kulipwa kisha akarejea tena kwako...
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu...