Zawadi gani nimpatie kipenzi changu siku ya kuzaliwa kwake?

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,091
Asalaam waungwana
Jamani nishaurini nimpatie zawadi gani kipenzi changu siku ya kuzaliwa kwake mana me kila nikifikiri sioni ipi itamfaa
 
Unasikilizia wewe.mpe kilichomtoa kwao kukufuata Tandale.katoka Masaki utampa nn ww.
 
Kaka mwanamke huwa hapewi zaidi yoyote tofauti na mhogo!!! Usipoteze fedha zako kuhangaika na mwanamke.wako wenzako wengi tu ambao watampa zawadi...wewe cha msingi ni kutafuta dawa za kimasai au kikongo ili uweze kumridhisha pale 6x6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom