Furaha ipi unayopata kwa mchepuko wako kuliko kwa mwenza wako?

njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
452
1,000
Nianze na mimi binafsi nina mchepuko wangu tupo nae takribani miaka 3, na mwezi wa11 anaolewa na bwana wake washatoleana mahali. Lakini hyo my side chick hataki kabisa tuachane na jana tu nilikuwa nae.

Uzuri wa hyo side chick wangu kwanza on bed yupo poa sana zaidi ya mwenza wangu. Then mkiwa mpo mnapiga story atakwambia vitu vingi sana kuhusu maisha na kuhusu kutokumuacha mwenza wangu japokuwa anasema anaumia lakini anapenda iwe hivyo.

Tuambie na wewe sana, wasichana na wanawake vile vile mnakaribishwa.
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Michepuko sometimes wanakupa akili tofauti za kimaisha na kukuonesha mambo mengine ambayo wife hakuoneshi
Lakini hiyo akili wanayokupa Kule kwenye Nyumba kuu hawayatoi hayo Mawazo Pia. Hapo ndio Uone tofauti.. Kwamba wakiwa nje akili zao zinafanya kazi na wanakuwa well grownup lakini wakiwa Kwa Mume wake hawaongei chochote.

Vile vile nawe pia ukiwa na mother house huongei na kuonyesha uchangamfu kama ukiwa kwa mchepuko tatizo ni nini?
 

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
Lakini hiyo akili wanayokupa Kule kwenye Nyumba kuu hawayatoi hayo Mawazo Pia. Hapo ndio Uone tofauti.. Kwamba wakiwa nje akili zao zinafanya kazi na wanakuwa well grownup lakini wakiwa Kwa Mume wake hawaongei chochote.

Vile vile nawe pia ukiwa na mother house huongei na kuonyesha uchangamfu kama ukiwa kwa mchepuko tatizo ni nini?
Mkuu kuna namna fulani inatokea yaani nashindwa hata kuielezea kiundani
 

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,202
2,000
Mwanamke ni yule yule utamla leo ukipita mda utamchoka utatafuta mwingine nae utamla utamchoka ila kumbuka mkeo yupo home umemzalisha analea wtt wako anakupikia anatunza familia yako kwa ujumla hapo namaanisha shughuli zote. Leo unamuona hana swaga alizonazo huyo side chick wako kwa sbb ushamtumiaaa ushamzeeesha unaona hawezi kuvutia kwingine ila let me tell u this sio kwamba mwanamke thamani imeshuka laaa mwanamke majukumu yamemzidi na kulea wtt na familia yake ni jukumu kubwa ambalo kama amelishika vzr hawezi kuwaza michepuko kama wewe ulie free kazi yako ni kwenda kazini ukitoka unawaza bar ipi au mchepuko upi nikabadili flavour ila siku utakapokwaa magonjwa unamletea mkeo maskini alie nguzo ya familia anaejua mtoto ameshindaje anaumwa nimpeleke hospital sijapikia familia yangu na mengine mengi ila kwa ujinga wako unamuua mapema mnaacha watt wanahangaika. Shame on you mtoa mada.
 

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,450
2,000
Nianze na mimi binafs nina mchepuko wangu tupo nae takribani miaka 3, na mwez wa11 anaolewa na bwana wake washatoleana mahali. Lakin hyo my side chick hataki kabisa tuachane na jana tu nilikuwa nae..
Uzur wa hyo side chick wangu kwanza on bed yupo poa sana zaid ya mwenza wangu .
Then mkiwa mpo mnapiga story atakwambia vitu vingi sana kuhusu maisha na kuhusu kutokumuacha mwenza wangu japokuwa anasema anaumia lakin anapenda iwe hvyo..

Tuambie na wewe sana... wasichana na wanawake vile vile mnakaribishwa..

Ila Mkuu to be honest kuna vitu sivielewi vinatokeaje ila acha kupitia hii hali tuwe wa kweli.

Wewe ni Mwanaume na una Mke kwa Nini Uchangamfu ulionao kwa huyo Mchepuko usiwe nao huohuo kwa Mke wako?
Wewe ni Mwanamke una Mume Kwa Nini Huo Uchangamfu ulio nao kwa huyo Mchepuko wako wa Kiume usiwe nao with the same rate and intenity hiyo hiyo kwa Mume wako?

Hiyo Mipango ya maisha unayomshirikisha huyo Bwana Wa nje kwa nini usiipeleke kwa mzazi mwenzio?

Tuweni wakweli Kuna nini hapo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom