Natafuta mme

Clanzy

New Member
Feb 24, 2017
4
20
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.

For more details come to PM
 
ninavigezo vyote ila moyo mgumu sina baba watoto wako atakua anamega kisela,Naomba unihakikishie kua jamaaa hatakua karibu na wewe in any way then PM me
 
Usitegemee kupata ukweli kabla ya hujamwoa. Mwoe baada ya mda baba toto nae ata PM, hakuna anaemwachaga mzazi mwenzie mia kwa mia. Huyo toto ndo kiunganishi chao
mkuu unanikatisha tamaa mkuu anaweza kua Mwanamke mwema huyu hebu ngoja tumsikilize Clanzy
 
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.

For more details come to PM
Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana?
 
Baba wa mtoto wako yuko wapi na tatizo nini hadi mkatengana.
hapa hupati jibu kabisa, ningeshauri atafute huko anakoenda kuabudu maana ndiko atakapopata wenye kumcha Mungu.

ni ushauri tu maana hapa kebehi nyingi zitakuwepo.

kuna kitu najiuliza for sure bila majibu.

Hivi watu wa namna hii wako serious kweli? it means wanakoishi hawajaona kabisa hadi waje humu JF?
seriously? mimi sina jibu kabisa naomba msaada.
 
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia kipato umri uanza miaka 32-40. Ila awe tayari kunikubali na kunipenda mimi na mwanangu.

For more details come to PM
Punguza masharti dada, we sema unataka mume, ishia hapo mengine yatajipa ndani kwa ndani.
 
Usitegemee kupata ukweli kabla ya hujamwoa. Mwoe baada ya mda baba toto nae ata PM, hakuna anaemwachaga mzazi mwenzie mia kwa mia. Huyo toto ndo kiunganishi chao
Kwanza aeleze:-,

1. Baba wa mtoto wake yu hai, au marehemu?

2. Kama yu hai, yuko wapi, na ni kwanini hakumuoa yeye?

3. Na je, kwanini asimuombe amuoe yeye?

4. Kama hayuko hai, je, yuko tayari kuweka mubashara ushahidi wa taarifa hiyo ya kifo, kwa mtu atakayeonyesha nia juu yake?

Naomba kuwasilisha wadau kwani nyote mnajua kuwa uhusiano wa mtu na mzazi mwenzie huwa haukomi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom