Fordy the gr8t
Member
- Mar 10, 2017
- 45
- 25
Dah wadau msaada wenu kuna dem nilikuwa namfukuzia sasa kila nikitaka nionane nae bila ya yeye kujua inashindikana sasa siku ikabidi niombe namba yake, siku napewa ile namba kumbe haikuwa yake ilikuwa ya mfanya kazi wao alafu mdogo mdogo ivi ila uzuri anao, sasa nikawa nachat nae siku nimemwita sehem anakuja namuona mwingine hapo ndipo nilipo ishiwa pozi kabisa. Ilinibidi nizugezuge tu hapo nikamwambia siku ingine nitakuita.
Swali na msada kutoka kwenu, Mi nimfanyaje huyu mtoto maana hata kwenye simu ananisumbua kweli anataka kujua siku nitakayo muita.
Swali na msada kutoka kwenu, Mi nimfanyaje huyu mtoto maana hata kwenye simu ananisumbua kweli anataka kujua siku nitakayo muita.