Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,453
- 872,062
Sharti moja lililowashinda waganga wengi wa kienyeji ni utamanifu na kushindwa kuidhibiti tamaa hata kumtongoza mteja....akithubutu kufanya hivyo anajimaliza mwenyewe
Hapa nazungumzia wale ambao ni waganga kweli sio hawa matapeli wanaojifanya kuweka dawa sehemu za siri kwa kutumia vibamia vyao
Yule ni mteja ni mhitaji ana matatizo na anahitaji ufumbuzi toka kwako kwahiyo yuko tayari kutii utakachomwambia
Hupaswi kutumia matatizo yake kujinoma! Unanajisi taaluma...wengi wameingia kwenye huu mtego na kupoteza uwezo wa kutibu kabisa! Baada ya hapo hubaki kuwa tapeli tu
Masharti mengine
Hawapaswi kumiliki mali wala vitu vya thamani
Maisha yao hayapaswi kuwa ya gharama bali ni yale ya chini kabisa kuanzia makazi mpaka mavazi na samani
*Waganga wengi huogopa mno kuhudumia mashoga!