Mashoga ndio makungwi siku hizi?

Mashoga ndio makungwi siku hizi?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,788
Reaction score
8,755
Heshima kwenu mabibi na mabwana

Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishangazwa na hii hali ya mashoga wale maarufu mjini kuwa makungwi au masomo wa kuwafunda mabinti (mwali)

Inamaanisha mama zetu na bibi zetu wameamua kuwarithisha hawa watu kutufundia Dada zetu badala yao?

Hili jambo linanishangaza sana, nimeskia na kushuhudiq shughuli nyingi tu na kutqna na hawa watu wakifanya hiyo kazi,

Ndo kusema akina mama wameshindwa? Au nini kinaendelea?
 
Nafikir haujaelewa that means wanapromo vitendo vya kinyume na mapenzi ya Mungu kwa wanaofundwa ndio maana hiyo michezo imeongezeka sana
 
fani imeingiliwa!!

hivi wanasayansi wa biolojia hawana lakulisemea hili..?
 
"Hili jambo linanishangaza sana"

Hata mimi linanishangaza pia, mwanaume mzima unakuaje na tabia za kimama
Tena Funda yao imefunika akina mama

Utasikia shoga usituogope sie km wewe tu,

Inashangaza
 
Wadada wanaweza kutueleza vzr uhusiano wao na mapunga una faida zipi
 
Nafikir haujaelewa that means wanapromo vitendo vya kinyume na mapenzi ya Mungu kwa wanaofundwa ndio maana hiyo michezo imeongezeka sana
Wangepigwa marufuku, maadili yanazidi kushuka,

Mfano, ameitwa kufunda mwali msichana aliyetoka kuvunja ungo, nini anamtemgenezea ktk bongo yake
 
Back
Top Bottom