Ushauri jamani.

Ushauri jamani.

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,868
Reaction score
15,735
Nikamuuliza baby vp hujawahi kunisaliti? Akajibu,kama wewe hujawahi kunisaliti na mimi sijawahi kukusaliti.Je hii ina tafsiri gani?
 
Tafsiri yake mbona simple tuu.
Kama uliwahi kumcheat kakucheat Mara 10 zaidi.
Kama haujamcheat na yeye hawezi kukucheat.
Hivyo kuwa mwaminifu
 
Tafsiri yake mbona simple tuu.
Kama uliwahi kumcheat kakucheat Mara 10 zaidi.
Kama haujamcheat na yeye hawezi kukucheat.
Hivyo kuwa mwaminifu
Sasa yeye anajuaje nimemcheat au sijamcheat ili akokulud kwamba yeye tayari au bado? Hii kitu imenimix sana asee
 
Tafsiri yake usipende kuuliza maswali yasiyo na majibu.

Fanya yako tu utakufa kwa kihoro.
 
Hivi ukimuuliza mtu swali hilo unategemea jibu ganiii? Endeleeni kusalitiana tu.
 
Kua mjanja mapema hapo hapakufaii.. Kuna mtu anakusaidia ku share
 
Jibu unalo wewe kama umecheat naye kacheat kama hujacheat naye hajacheat....ha ha ha
 
Back
Top Bottom